kibananhukhu
JF-Expert Member
- Jul 6, 2009
- 366
- 165
ABATE LAMBERT ANAWEZA KUENDESHA SHIRIKA LAKE KWA KUFUGA TU. HAWA JAMAA HAWAHITAJI HAYO MAMBO MNAYOWASINGIZIA, WAPO HUKO KWA ZAIDI YA MIAKA 100 KAMA SHIRIKA. LUKARASI NI KAMGODI TU, MIGODI KAMILI YA DHAHABU ILICHIMBWA NA WAJERUMANI WALIOJENGA RELI.
Walichimba dhahabu na waliamini wameimaliza na watu wa kanda ya ziwa ni mashahidi hususani watu wa Nyarugusu, Mgusu na Rwamgasa, kuna mashim mengi ya zege na mitambo chakavu huko. Inasadikika kuwa vita vyote vya mjerumani viligharamiwa na dhahabu kutoka Tanzania.
Hawa jamaa hawahitaji udhalimu ili kuishi, wanaweza ishi kwa kushona suti tu. Ni wajasiriamali kweli kweli siyo mafisadi. Wana wafadhili pia wa kutosha na viapo vyao ni UTII, USEJA NA UMASIKINI. Msimkufuru Mungu jamani. Kuna wezekana pia kuandika hivyo kwa nia ya kuficha ukweli wa mauaji. Kwanza, si kawaida Gazeti kuandika habari kama hiyo. Mbona huo ungelikuwa ni ushahidi tosha. Kwa nini polisi haichukui hatua? Kuandika taarifa kama hiyo na serikali kutochukua hatua inaadhiria nini???