Who really killed Prof. Mwaikusa?

Ni lazima watu wasiamini tuhuma za kanisa ama watu wake wasiakini kuhusika na mauaji hayo kwa vile wao niwatakatifu sana. Labda tungeamini kama ingewahusisha watu wasiokwenye imani hiyo. NI MAONI TU
 

Mkuu nakwambia stori nzima doesn't add UP:Mwandishi anasema walikuwa wanatafuta nyaraka zilizo kuwa zinahifadhiwa na Prof.Mwaikusa (R.I.P), anasahau kwamba mtoto wa kiume wa marehemu aliwahi kusema wahuaji walingia naye chumbani wakamwambia baba yake ameuwawa kutokana ni UBISHI wake (lakini hawakufafanua), mtoto kakili kwamba hakuna nyaraka zozote zilizo chukuliwa na wauaji: soma link hii ya mwanahalisi: Rwanda yatajwa kifo cha Prof. Mwaikusa | Gazeti la MwanaHalisi

Sasa jaribu kulinganisha na post hii inayo jaribu kuwatuhumu watawa/mabruda na polisi! Hii inanikumbusha term inayotumika katika tekinolojia ya mawasiliano ya digitali inajulikana kama "PADDING" ndicho kilicho fanyika haka - and for what reason if I may ASK?
 
Ni lazima watu wasiamini tuhuma za kanisa ama watu wake wasiakini kuhusika na mauaji hayo kwa vile wao niwatakatifu sana. Labda tungeamini kama ingewahusisha watu wasiokwenye imani hiyo. NI MAONI TU

Wala mimi siamini kama suala zima linahusu DINI - kuna kitu cha ziada hapa!!!
 
Wanavyokashifu Uislamu hukusema hutanunua lakin wamesema ya Katoliki ndio unastuka ooh sitanunua. Ukimzoosha mbwa utaingia nae mpaka sehem ya ibada ndio hayo sasa.
 
Hata Mhashamu Kadinali amewahi kuhusishwa na deal za DAWA ZA KULEVYA! Huu ni muendelezo tu

Wote Mafia tu hao. Tena gazeti la Raia mwema ingekuwa Al-Nuur tungesema udini lakini hapa ndio yale matukio yaliyooanza miaka hiyo. Catholic janga
 
Mengi hata mazuri yenye kufanywa kwa nia njema yanaweza kutafsirika kwa mtazamo wa kimafya kwa sababu iwe ni kweli au fitina.

Kinachonishangaza kiwete kumsingizia kushinda mbio
Mbona leo unatoka sana povu kwenye kutetea Umafia? Hao wameweka uchunguzi wao na wewe weka wako kupinga usitoe povu jingi mdomoni.
 
Upumbavu mtupu! Na wewe uliyeleta hii maada you must be retarded and devoid of any sense of critical thinking. Shenzi type! Ningekuwa karibu na mwandishi wa huu upuuzi au mleta maada, wazushi wote wawili ningewapiga vibao vya nguvu! Pambaaf!
Jibu hoja sio jazba tu. Sasa ndio muone Uislamu unaposingiziwa kitu wanajisikia vipi waislamu wenyewe, uchungu ulioupata wewe na wengine wanaupata the same. Liwe funzo kuepuka kukashifiana humu JF. Ni hayo tu.
 
Leave it to professional,nadhani forensic science inahusika hapa,lazima kuna vielezo ambavyo vilibaki,kama ipo ja ya thabit kuwapata hao wauaji,watapatikana tu
 
Candid Scope,

..waliofanya mauaji hayo ni WAHUNI.

..watawa wa ukweli hawawezi kujihusisha na ukatili.
Hivi kubakwa watoto sio Ukatili? Mbona the same kanisa lishahusishwa na kiongozi wa dunia papaa aliomba radhi?
La msingi waache vitendo ovu kwa kujificha mgogoni mwa kanisa.. Shame kwa wahusika wote. R.I.P Prof wa ukweli Mwaikusa
 
Last edited by a moderator:
bado nina majonzi ya msiba wa baba askofu Aloysius balina, sitachangia uzi huu leo.
Pole sana, kwa kumuenzi Balina kemea kanisa kuacha maovu na vitendo vya ukatili, hilo litakuwa mchango tosha ukikaa kimya hawataacha huu Umafia worldwide.
 

Nakupa Big LIKE
 
UKITAKA KUJUA UCHAFU WA KANISA KATOLIKI TAFUTA HIKI KITABU

 
Watawa wamefunga nadhiri za ufukara kwa hiyo sidhani kama jambo hili linaweza kufanywa na wao. Hata hivyo wao ni binadamu pia hili pia linawezekana. Yuda alifanya deal akamsaliti Yesu!
 
Mwema ansubiri maandamano ya CDM akaue waandishi wa habari na wauza magazeti. Pinda anasema mauaji hayo yametokana na watu kukataa kutii amri/sheria za kikamhanda. To hell
 

Sasa nimethibitisha kuwa hizi ndiyo sampuli za watu ambao hupenda kuibuka na kudai kuwa wana majina ya watu fulani wnaojihusisha na suala fulani...au kuficha vitu fulani, wao huongea hisia zao ili kukfanya kuwa busy na kukanusha wao wakiwa na lengo la kukuharibia malengo yako na kukupunguzia Morali, thats wgy I respect Mtikila, yeye akiwa na kile atakachodai kuwa ni ushahidi hapigi kelele bali huenda mahakamani au atatengeneza mazingira ya kukufanya umpeleke mahakamni.

Yaliyomo ndani ya Nyaraka hizo ni maisha ya upande mwingine wa Hayati Prof. Mwaikusa, lakini Mwandishi/Mchunguzi analazimisha maisha hayo na washirika wake kuingizwa katika chumba cha hatia.

Hizo nyaraka zinaweza tu kuchunguzwa kwa lengo la ku connect dots na wala kwa mazingira ya kesi na mauaji yalivyo nyaraka hizo hazikidhi viwango vya kiasi cha kuweza kutumika kama ushahidi.
 
vaticans are the "secret terrorists".....Papa John Paul II alihusika moja kwa moja kwenye mauaji ya wayahudi.....ts not a secret anymore......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…