Who really killed Prof. Mwaikusa?

Mauaji ya patrick karegeya south africa, ponapona ya kayumba Nyamwasa na wengine wengi, mauaji ya mwaikusa...hivi jamani tuseme ukweli, hivi haya mauaji ya prof mwaikusa yalifanywa na wauaji waliotumwa na paul kagame ati kwasababu Prof alikuwa anawatetea watuhumiwa wa genocide kule Arusha, na prof alishawahi kusikika akisema kuwa " kama hawa wateja wangu watakuwa na kosa, basi kagame pia anastahili kushitakiwa katika mahakama hii" kulingana na mazingira yeye aliyoyaona. statement hiyo ilimuudhi sana kagame kwamba kama wale watuhumiwa walikuwa na kosa basi kulingana na hali halisi ilivyokuwa rwanda na kagame naye alistahili kushitakiwa. hicho ndicho kilichomrestisha in peace prof wetu. issue hii imeishia wapi?

je? kagame ataua wapinzani wake na hata wale wanaotetea wapinzani wake mahakamani hadi lini?

vilevile, kuna tetesi kuwa waliofurumushwa operation kimbunga karibia nusu wamesharejea kisirisiri. pia kagame ana mashushushu wengi sana serikalini kwasababu wanyarwanda wengi sana ambao ni wazawa wa kitz wanajifanya wahaya kumbe ni wanyarwanda. wengi watakwambia wametokea kigoma au kagera, na kumbe ni wanyarwanda. anawalipa na ninasikia wengine walijifanya machangu wakaja DODOM kufanya ushushushu kwa wabunge wetu. wapo wengi sana na wanawake wengi wa kinyarwanda wanatumia uzuri wao kuwa kama chambo kumbe pamoja na kwamba unaona ni mamodo wao wamehitimu jeshi na ushushushu. ni noma....ataichezea nchi yetu hadi lini? kwanini alimuua prof wetu na hatujamfanya kitu? kama kwelii amuuua atalipwa, ila kama hakuua anasingiziwa basi.

Hii thread inakufanana.
 
Loo,hebu tuwekeeni evidence tena scientifical one kama kweli alihusika na hayo mauaji ya huyo professor.Msione tunamuandika Kagame hapa mkafikiri tunayoyaandika ni mambo ya kujitungia ,hapana ni mambo yaliyowazi sana na hata UN inatu support na evidence dhidi yake,kwa hiyo ni vyema issue kama hiyo ambayo ni nyeti sana inaweza ikamletea mtu matatizo kwa kushutumu bila ya kuwa na evidence.M/Mpamba.
 
On the morning of July 15, I spoke to William Mitchell Law Professor and international criminal defense attorney Peter Erlinder about the grisly assassination of Democratic Green Party of Rwanda Vice President Andre Kagwa Kwisereka. Kwisereka was found beheaded, with a machete left nearby, near Butare, Rwanda, on July 13, 26 days after Professor Erlinder’s release in Rwanda, where Rwandan President Paul Kagame’s regime had arrested and incarcerated him for three weeks. Erlinder had traveled to Rwanda to defend Victoire Ingabire Umuhoza, Rwanda’s FDU-Inkingi party leader and presidential candidate, only to be arrested and accused of “genocide ideology,” which means disagreeing with Rwanda’s official history of the 1994 Rwanda Genocide and/or with the regime of Rwandan President Paul Kagame.

Professor Jwani Mwaikusa headed the Department of Constitutional and Administrative Law at the University of Dar Es Salaam.
When I told Professor Erlinder about Andre Kagwa Kwisereka’s assassination, he said, “Yes, and an ICTR [International Criminal Tribunal on Rwanda] defense attorney, Professor Jwani Mwaikusa, was just assassinated, too, in Dar es Salaam.”
He also said:

“No one knows for sure whether he was assassinated by Rwandan Patriotic Front operatives, but we do know that lawyers put themselves in danger by defending people whom the RPF have identified as their enemies.”

Professor Erlinder put himself in great danger by traveling to Rwanda, and says that he would have been “disappeared” had he not sat down, started hollering, demanded to speak to the U.S. Embassy, and made the sort of scene that white Americans feel empowered to make, in the Kigali hotel where he had been arrested. Professor Mwaikusa, however, put himself in far more danger and paid the ultimate price, along with a nephew and neighbor who attempted to come to home.

Law Professors Peter Erlinder and Jwani Mwaikusa both served as defense attorneys for the International Criminal Tribunal on Rwanda (ICTR).

Professor Erlinder and Professor Mwaikusa were both towering, world renowned legal scholars, teachers and human rights defenders, but Professor Erlinder was an American who survived, Professor Mukwaisa an African who paid with his life. His assassins no doubt knew that, though their stature and accomplishments were similar, the international outcry and consequence would not compare.
U.S. citizens, we are complicit in Professor Mwaikusa’s death because President Paul.

Source: http://sfbayview.com

Kwenye kifo cha The late pro kuna mambo mawili: Moja issue ya kumuona Balali mbili hilo la Kageme, inasikitisha hakuna hatua zilizochukuliwa na Taifa kuchunguza kifo hicho na ndio kinachoipa nguvu statement ya kwanza..
 
Km una link au ile thread ya kifo na kaburi la "bilali" naomba ni update naiitaji sana mkuu.
 
Sawa mkuu tupo pamoja sana.

Wakati mnajadili msisahau kuwa Jenerali Ulimwengu ni mtusi na mwakilishi wa Kagame Tanzania na wenzao waliotapakaa kwenye taasisi nyeti kwa dhumuni la kujenga himaya ya watusi katika ukanda wa Mashariki ya Africa na maziwa makuu. ..mkumbuke Kagame ni mtusi...Museveni. ..uhuru kenyata babu yake ni mtusi. ..kabila ni mtusi. ..makongoro Nyerere anayetaka kukabdhiwa nchi baada ya Jk kudanganywa na system ya ktusi bila kujua pia ni mtusi so makongoro akchukua nchi itakua bado Burundi tu ambayo watusi wanajua ni rahsi kuingia system iwe macho japo ina watusi ndan
 
Tatizo la nchi hii kutokuwa na specific time ya kupata kilaji, kama huyu kajipakulia konyagi zake hapa cjui anapumuliwa kisogoni huku anaandika au ashapakuliwa ubwabwa?
 
Kitu cha kwanza unachotakiwa kuelewa ni kwamba, BANYAMULENGE ni watusi wanaoishi Congo. Hili ni kabila la watusi waishio nchini Congo ambao Kagame amekuwa akiwasapoti kupitia Laora Nkunda aliyekimbilia uhamishoni Rwanda kwa sasa hivi. hivyo unapoongelea RPF chama cha kagame kilichotoka msituni hadi kusababisha mlipuko wa genocide uanze, usichanganye na Banyamulenge..

Banyamulenge ni watu wanaoongea kitusi na ni watusi wa kikongo si wa Rwanda OK. Hebu tuongeage kisomi sometimes....watu wengi wanatusome watz humu na wanaweza kuona kama sio watafiti na wasomaji wa habari.

Pili , Hivi
Salva ni Mtusi? Hadi unamwita Banyamulenge? Najua Salva yuko Ikulu, lakini nilikuwa sijui kama ni Mtusi. Yeye hajatoka Bukoba kweli yule? Kama ni Mtusi wekeni wazi na mtusi mwenyewe asiwe mtusi wa Kitanzania...Kama ni mtusi raia halali wa Tanzania, hatutakiwi kumbagua...

Kwa sababu hata makabila mengine, kuna wanyasa wanaoshare nchi mbili Tanzania na Malawi, Kigoma kule unashare watu wengi tu, na Burundi na Rwanda, Bukoba nako unashare na Waganda etc.. Msumbuji unashare na makabila ya kina mkapa na huwezi kuwaita hao ni alien.. inauma sana kubaguliwa...racism is poisonous unajua...

Tatizo lako unafikiri wote wanaoandika humu ni watoto kama wewe, Nenda kamuulize Salva hata kama Bukoba anapafahamu? Huyo banyamulenge na rafiki zake kina Ulimwengu tunawafahamu toka alifu shauri yako.
 
Wakati mnajadili msisahau kuwa Jenerali Ulimwengu ni mtusi na mwakilishi wa Kagame Tanzania na wenzao waliotapakaa kwenye taasisi nyeti kwa dhumuni la kujenga himaya ya watusi katika ukanda wa Mashariki ya Africa na maziwa makuu. ..mkumbuke Kagame ni mtusi...Museveni. ..uhuru kenyata babu yake ni mtusi. ..kabila ni mtusi. ..makongoro Nyerere anayetaka kukabdhiwa nchi baada ya Jk kudanganywa na system ya ktusi bila kujua pia ni mtusi so makongoro akchukua nchi itakua bado Burundi tu ambayo watusi wanajua ni rahsi kuingia system iwe macho japo ina watusi ndan
Duuh,mkuu ushabadi mtazamo juu yaha uliyo andika
 
Back
Top Bottom