Who really killed Prof. Mwaikusa?

Who really killed Prof. Mwaikusa?

...watu wamejadili majibu weee..! We ndo unauliza swali leo,loh...!

Wewe kama hujui au hutaki kumjibu kaa kimya haikucost chochote tofauti na gharama uliyoingia kujibu umeonekana mbinafsi na usiefaham maana ya kujifunza! Hii ni learning process haina mwisho kama we unajua wenzio hawajui hakuna mabango barabarani yanayoonesha ilo tukio!
 
...and so what does this mean...?will this change the fact kwamba imejadiliwa vya kutosha hapa jamvini..?
 
Asanteee
 
...and so what does this mean...?will this change the fact kwamba imejadiliwa vya kutosha hapa jamvini..?

Najua unajua, ila mimi sijui, na ninataka kujua. Toa link basi mkuu niisome
 
...it is suspected that he was killed by kagame's terrorists squad like the ones hunting his opponents down in South Africa!
 
Ni kweli kagame is behind the killings,south africa wapo ktk deep investigation over his role in many killings.
 
...watu wamejadili majibu weee..! We ndo unauliza swali leo,loh...!

Ingekuwa hekima zaidi kama unge 'link' hayo majibu kwa faida yake na yangu na wengine wengi ambao hatukuona hayo majibu!
 
Ingekuwa hekima zaidi kama unge 'link' hayo majibu kwa faida yake na yangu na wengine wengi ambao hatukuona hayo majibu!
...mkuuu hamna haja ya ku link, akicheki hapo chini kwenye archive ya similar topics atazipata zooote...
 
...mkuuu hamna haja ya ku link, akicheki hapo chini kwenye archive ya similar topics atazipata zooote...

Basi mkuu nimeiona. Ila angeambiwa kuhusu uzi unaofanana.
 
mm ninavyo juwa prof akiwa nch marekani alikutana na balali na kwa bahati mbaya waka salimiana, tukio hilo lili sababisha kifo chake.
 
Mauaji ya Patrick Karegeya South Africa, Pona pona ya Kayumba Nyamwasa na wengine wengi, mauaji ya Mwaikusa, Hivi jamani tuseme ukweli, hivi haya mauaji ya Prof Mwaikusa yalifanywa na wauaji waliotumwa na Paul Kagame ati kwa sababu Prof alikuwa anawatetea watuhumiwa wa genocide kule Arusha, na Prof alishawahi kusikika akisema kuwa " Kama hawa wateja wangu watakuwa na kosa, basi Kagame pia anastahili kushitakiwa katika mahakama hii" kulingana na mazingira yeye aliyoyaona. Statement hiyo ilimuudhi sana Kagame kwamba kama wale watuhumiwa walikuwa na kosa basi kulingana na hali halisi ilivyokuwa Rwanda na Kagame naye alistahili kushitakiwa. Hicho ndicho kilichomrestisha in peace Prof wetu. issue hii imeishia wapi?

Je? Kagame ataua wapinzani wake na hata wale wanaotetea wapinzani wake mahakamani hadi lini?

Vilevile, kuna tetesi kuwa waliofurumushwa operation kimbunga karibia nusu wamesharejea kisirisiri. Pia Kagame ana mashushushu wengi sana serikalini kwa sababu Wanyarwanda wengi sana ambao ni wazawa wa Kitanzania wanajifanya Wahaya kumbe ni Wanyarwanda. Wengi watakwambia wametokea Kigoma au Kagera, na kumbe ni Wanyarwanda. anawalipa na ninasikia wengine walijifanya machangu wakaja DODOMA kufanya ushushushu kwa wabunge wetu.

Wapo wengi sana na wanawake wengi wa Kinyarwanda wanatumia uzuri wao kuwa kama chambo kumbe pamoja na kwamba unaona ni mamodo wao wamehitimu jeshi na ushushushu. ni noma! Ataichezea nchi yetu hadi lini? Kwanini alimuua Prof wetu na hatujamfanya kitu? Kama kwelii amuuua atalipwa, ila kama hakuua anasingiziwa basi.
 
cha kwanza wewe sio mtz. Cha pili,mambo ya wa tz tuachie tushughurikie. Rwanda ni watoto wetu,hawatusumbui. Kwani tulivyowafurusha m23 haukuona.
 
sio kwamba ni tetesi tu, upo ushahidi wa kutosha kuthibitisha kuwa kagame alituma watu wamuue prof kwasababu prof alisema kule ICTR kuwa wateja wake hawatakiwi kushitakiwa labda ashitakiwe kagame kwanza au wakishitakiwa na kagame ashitakiwe. alituma watu wamuue prof kama vile alivyotuma watu wakamuua karegea south africa. nashangaa kwanini serikali yetu haijamchukulia kagame kuja kuua watu wengi nchini mwetu hapahapa.
 
Swala la Watz wenye asili ya kinyarwanda kufanya kazi Tz si tatizo mbona USA kila aina ya watu wapo na wameajiriwa katika gvt za huko mfano rais obama. Je hao waliopo kwenye gvt ni mashushushu ?kama ni mashushushu ni hatari. Lakini mbona rais kampa uwaziri raia wa tz tena bila kuukana utz? Swala la mgombea binafsi na uwakili wa icc zote zinatiliwa mashaka hayo kuwa chanzo cha kifo cha mwaikusa lakini hakuna mwenye ukweli huu zaid ya walinzi wa nchi yetu.
 
Siyo kila mnyarwandwa ni wa kachero wa kagame wengine ni makachero wa kikwete.
 
Back
Top Bottom