Tunaomba Serikali ilichunguze Shirika la MDH lenye makao makuu yake Dar es Salaam Mikocheni kwa Mwalimu Nyerere

lazima ukae

JF-Expert Member
May 15, 2013
789
383
Tunaomba Serikali ilichunguze Shirika lisilo la kiserikali la Management and Development for Health (MDH) kutokana na yanayoendelea.

Shirika hilo lina tabia ya kuwaita vijana na kuwafanyisha project za muda mfupi lakini mara project zinapokwisha viongozi hasa hasa upande wa uhasibu kwa kushirikiana na viongozi wa vitengo vingine wanaanza kuwazungusha malipo yao kinyume na makubaliano.

Kwa ambao wameshawahi kufanya kazi za muda mfupi au za muda mrefu na shirika hilo wanajua ninachomaanisha.

Vijana wanatumia muda wao na nguvu zao katika kutekeleza majukum yao ili wapate pesa kihalali lakini hili shirika limekuwa na tabia ya kuwatesa vijana bila ya sababu za msingi

Nina imani wawakilishi wa mheshimiwa Rais wapo humu wanausoma ujumbe huu hivyo naamini hili litaenda kuchukuliwa hatua haraka sana.
 
Sawa wamekusikia wakikupa tugawie!
 
Shirika la kisengee hiri
 
Back
Top Bottom