Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
Mmmhh, kuna hatari kama serekali haitafuatilia hili, na mimi napata uoga. Fidelis anajivunia pesa ya shilika, huwezi kuamini, kumbe watu wanalijua hili ila hawana pa kusemea. mmojawapo aliniambia wakati tunajadili gazeti kuwa wangejua raia mwema wangekuja tuwaelezee jinsi pelamiho ilivyovamiwa. Mungu walinde watumishi wako aidani na edmund wawe salama. mlinde na buluda God na wengine wanaoonewa.[/QUOT
Serikali haina nafasi ya kufuatilia mambo ya ndani ya nyumba, yanawahusu wanafamilia na sisi wengine tunaumiza vichwa bure. Laiti tungejua yanayoendelea ndani ya monastery, ma-convent, maseminari, ni vioja lakini wanayamaliza wenyewe na inaposhindikana na kumfukuza. Wana vyombo vyao vya kusahihishana ikiwa ni pamoja na 'culpa' (baraza la mashtaka, halmashauri ya nyumba na shirika na hali kadhalika mikutano yao. Hayo ya kwao mimi binafsi sioni sababu ya kuumiza kichwa.
Tunachotaka ni evedence ya kuhusika kwao katika mauaji, hizi blabla haizina maana maana ni malalamiko yesiyo na vielelezo vya kuonyesha evidence ya kuhusika kwao na mauaji ya Maikusa. Kinachoendelea hapa katika majadiliano ni ule uswahili wa vijiweni si misingi ya hoja za great thinkers.
Kwa sasa naelekea kufunga mjadala kwa kuhitimisha kauli yangu na kuomba moderator wafunge majadiliano, maana kinachoendelea si hoja za maana zaidi ya kundi lenye kuleta tu manung'uniko jambo ambalo linapoteza maana ya maudhui ya mada hii.
Mmmhh, kuna hatari kama serekali haitafuatilia hili, na mimi napata uoga. Fidelis anajivunia pesa ya shilika, huwezi kuamini, kumbe watu wanalijua hili ila hawana pa kusemea. mmojawapo aliniambia wakati tunajadili gazeti kuwa wangejua raia mwema wangekuja tuwaelezee jinsi pelamiho ilivyovamiwa. Mungu walinde watumishi wako aidani na edmund wawe salama. mlinde na buluda God na wengine wanaoonewa.[/QUOT
Serikali haina nafasi ya kufuatilia mambo ya ndani ya nyumba, yanawahusu wanafamilia na sisi wengine tunaumiza vichwa bure. Laiti tungejua yanayoendelea ndani ya monastery, ma-convent, maseminari, ni vioja lakini wanayamaliza wenyewe na inaposhindikana na kumfukuza. Wana vyombo vyao vya kusahihishana ikiwa ni pamoja na 'culpa' (baraza la mashtaka, halmashauri ya nyumba na shirika na hali kadhalika mikutano yao. Hayo ya kwao mimi binafsi sioni sababu ya kuumiza kichwa.
Tunachotaka ni evedence ya kuhusika kwao katika mauaji, hizi blabla haizina maana maana ni malalamiko yesiyo na vielelezo vya kuonyesha evidence ya kuhusika kwao na mauaji ya Maikusa. Kinachoendelea hapa katika majadiliano ni ule uswahili wa vijiweni si misingi ya hoja za great thinkers.
Kwa sasa naelekea kufunga mjadala kwa kuhitimisha kauli yangu na kuomba moderator wafunge majadiliano, maana kinachoendelea si hoja za maana zaidi ya kundi lenye kuleta tu manung'uniko jambo ambalo linapoteza maana ya maudhui ya mada hii.
Wametuhumiwa kuua na wewe unasema serekali haina hoja katika hili. unamdanganya nani. Damu na haki ya mtu haipotei bule amini usiamini. mwisho wa yote ukweli huwa unajulikana hata kama ni muda mlefu kiasi gani itachukua. Nakushauri waambie hao wateja wako kama siyo wewe mwenyewe muwahi mahakamani kushitaki raia mwema kuwa wamewasingizia kuua. mkoba mwanasheria wenu si aliomba aombwe radhi la sivyo mnafungua mashtaka, badala yake hawakuwaomba msamaha na wakaomgeza mabandiko yao wewe huoni kuwa wanao uhakika. vinginevyo ili kujisafisha kuwa ninyi ni wasafi ndugu wahini mahakamani kama mlivyowatishia raia mwema.
Hizi ni bla bla za kutishia nyau, umtishe nani, na wenzio wa raia mwema wamekaa kimya wasitishwe na mkwara wenu, hamshangai tu.
Mwanzoni ulisema kuwa hawa ni watu wa sala muda mwingi hawawezi kuingia ktk mambo mabaya, na sasa kwa vidole vyako unasema ndani ya nyumba zao ni vioja, nimekushangaa. Sasa ulikuwa unawatetea nini na sasa unaandika nini.
Hata hivo tunawashukuru raia mwema na wewe mwenyewe mmetupatia mwanga wa madudu yenu huko ndani, yaani miongoni mwenu kuna wanakondoo na wengine ni wale waliojiveka mavazi tu ya kondoo ila wapo ili kuwararua.
Muhamed umenichekesha, ijapokuwa umeongea ukweli. jina la shilika limeshapindishwa, hawa jamaa wa geleji ni buluda Anselmo, na Alphonce, chuoni ni mukasa ambaye sijamuona nina muda, nimeambiwa ameenda kusoma morogoro. Hii ni timu ya hatari, ambayo inatumiwa na buluda fr fidelis akisaidiwa na wahuni wa mjini kama Jonson Nchembe kuwaua na kuwatesa watawa. ukiwa juu kidogo wanakupiga nyundo.
Nimekutana na baadhi ya watawa bado wanamwombolezea buluda aidan kwa namna alivyoonewa, na kudhalilishwa kwingi, akawalipa wanahabari mbalimbali ili wamwandike vibaya. amefanya hivyo na kuwatishia wale wanaofulukuta kuwa wataishia hivyo hivyo. Edmundi wanasema alipelekwa uwemba ili kumkomoa, na bado maisha yake yapo hatarini.
kwa sasa seminarini kuna giza wamekatiwa umeme. kumbe alimuondoa mtaalam wa umeme na ona sasa nyumba ina shida ya umeme. mwaka huu tutasikia mengi tu.
Muhamed umenichekesha, ijapokuwa umeongea ukweli. jina la shilika limeshapindishwa, hawa jamaa wa geleji ni buluda Anselmo, na Alphonce, chuoni ni mukasa ambaye sijamuona nina muda, nimeambiwa ameenda kusoma morogoro. Hii ni timu ya hatari, ambayo inatumiwa na buluda fr fidelis akisaidiwa na wahuni wa mjini kama Jonson Nchembe kuwaua na kuwatesa watawa. ukiwa juu kidogo wanakupiga nyundo.
Nimekutana na baadhi ya watawa bado wanamwombolezea buluda aidan kwa namna alivyoonewa, na kudhalilishwa kwingi, akawalipa wanahabari mbalimbali ili wamwandike vibaya. amefanya hivyo na kuwatishia wale wanaofulukuta kuwa wataishia hivyo hivyo. Edmundi wanasema alipelekwa uwemba ili kumkomoa, na bado maisha yake yapo hatarini.
kwa sasa seminarini kuna giza wamekatiwa umeme. kumbe alimuondoa mtaalam wa umeme na ona sasa nyumba ina shida ya umeme. mwaka huu tutasikia mengi tu.
[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD]Watawa walifukuzwa kipindi hiki cha uongozi mpya[/TD]
[TD]Jimbo lake[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Br. Godfrey[/TD]
[TD]songea[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]br. damian[/TD]
[TD]songea[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]br. elia[/TD]
[TD]mbinga[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]br.dionis[/TD]
[TD]mbinga[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]br. matias[/TD]
[TD]njombe[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]br. jerome[/TD]
[TD]songea[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]br. viktor[/TD]
[TD]mtwara[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]br. patrik[/TD]
[TD]mahenge[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]br. pio[/TD]
[TD]songea[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]br. francis[/TD]
[TD]zomba[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]br. placido[/TD]
[TD]mbinga[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]br. aidan[/TD]
[TD]songea[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]br. norbert[/TD]
[TD]songea[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]br. beda[/TD]
[TD]mbinga[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD]Idara za abasia[/TD]
[TD]Kiongozi wake[/TD]
[TD]Jimbo anakotokea[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kizizi [/TD]
[TD]Br. Gregory [/TD]
[TD] Njombe[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Bucha[/TD]
[TD]Br. Damas[/TD]
[TD]njombe[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]umeme[/TD]
[TD]br. alfons[/TD]
[TD]njombe[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]makanika[/TD]
[TD]br. anselmo[/TD]
[TD]njombe[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]plumber[/TD]
[TD]br. mukasa[/TD]
[TD]njombe[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]jiko[/TD]
[TD]br. ambrose[/TD]
[TD]njombe[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]bakery[/TD]
[TD]br. ambrose[/TD]
[TD]njombe[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]casher[/TD]
[TD]br. petro[/TD]
[TD]njombe[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]mkuu wa viwanda[/TD]
[TD]fr. fidelis[/TD]
[TD]njombe[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]chuo cha ufundi[/TD]
[TD]br. mukasa[/TD]
[TD]njombe[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]printing press[/TD]
[TD]br. silvester[/TD]
[TD]njombe[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]seremala ya chuo[/TD]
[TD]br. augustine[/TD]
[TD]njombe[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]sermala ya abasia[/TD]
[TD]br. kizito na bosco[/TD]
[TD]njombe[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]uhariri[/TD]
[TD]fr. fidelis[/TD]
[TD]njombe[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]bookshop[/TD]
[TD]fr. fidelis[/TD]
[TD]njombe[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]emau centre[/TD]
[TD]fr. fidelis[/TD]
[TD]njombe[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]miito[/TD]
[TD]br. kizito[/TD]
[TD]njombe[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]malizi waanzaji[/TD]
[TD]br. kizito[/TD]
[TD]njombe[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]malezi wanovisi[/TD]
[TD]fr. ludoviko[/TD]
[TD]songea[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]malezi waprofesi[/TD]
[TD]br. silvester [/TD]
[TD]njombe[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]makamu I wa abate[/TD]
[TD]fr. fidelis[/TD]
[TD]njombe[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]makamu II wa abate[/TD]
[TD]br. mukasa[/TD]
[TD]njombe[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]bustani[/TD]
[TD]br. viane[/TD]
[TD]tabora[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
pointlessssssss....... huwezi kujisafisha kwa maneno labda kwa damu ya Yezu peke yake. ulianzisha huu uzi umesaidia na sisi kukujua ulivyo. ni sawa na mtu aliamua kujifunua mavazi yake na makovu yako tumeyaona, vilema vyako vimeonekana waziwazi hata watoto wadogo wamekujua na inabidi tujihazali na wewe uliyejificha kwenye kundi la kondoo.Magazeti yetu mara nyingi yamekuwa yakiandika habari ambayo hazijafanyiwa uchunguzi wa kina na wa kutosha licha ya kuwafahamu wahusika kama ilivyotokea kwa habari hii. Gazeti la majira limejitutumua kuwafikia wahusika na wahusika wametoa kauli dhidi ya Gazeti la Raia Mwema na kwamba hata hawakuwafuata kupata uchambuzi wa kina. Watuhumiwa wamefungua dirisha kwamba kuna mwanashika ambaye ni terminated shirikani na kushitakiwa kisha mahakama kumzawadiwa nafasi ya kujisahihisha (public correction act) adhabu ya kifungo kwa kukiuka taratibu na sheria za shirika na pia alikuwa mhusika katika mradi huo ndiye aliyelichafua shirika kwa vile hajaridhishwa kuachishwa shirika na pia hana nafasi ya kujihusisha katika maradi huo kwa vile Abatia ilishajitoa katika ubia wa machimbo hayo. Hatimaye Gazeti hili limeshindwa kutoa hitimisho la habari ambayo imeelekea kulichafua shirika na kanisa. Naweza kuona kama Gazeti la Majira limeliaibisha gazeti la Raia Mwema, kwani licha ya kutoa habari hiyo kwa uzito wa juu na mitandao mbalimbali kujadili lakini halikufanya kile kilichotazamiwa kukamilisha kazi yao kwa kuwafikia wahusika ili kupata kauli yao, maana yake tunaweza kutafsiri kwamba Gazeti la Raia mwema limetunga habari hiyo kwa kushindwa kutoa vielelezo vya kutufanya tukubaliane na tuhuma hizo.
Baadhi ya wachangiaji katika mada hii wanaonekana kutumia zaidi habari za kufikirika na za vijiweni badala ya kudadisi vithibitisho ambavyo kisheria vitatuwekea mazingira wazi ya utuhumiwa wa Abatia Peramiho ili tupate taswira yenye kutuaminisha na vyombo husika viweze kuchukua hatua stahiki. Lakini mazingira hayo yamezoeleka kwa vile wachangiaji wengi si watu wa mfumo fulani, au kiwango fulani katika debate hapa, hivyo kwa jukwaa kama hili mara nyingi jambo hili huwa vigumu kukwepeka.
Kuna dhana fulani ambayo mashirika, sehemu za kazi, au mashuleni ambako watu huishi katika jumuiya, kunahitajika jicho la pekee katika kubaini mambo, maana ukichukulia upande mmoja wa mizani tu utakuja kushtukia umetelezea kusiko. Manung'uniko, malalamiko, kutoridhika, kufikirika ukabila, udini, upendelo nk ndiyo mambo yanayochukua migongano kila kukicha. Hayo hutokea kwa wale wanajumuiya wenye moyo mchache, wasio na ustahimilivu na wenye kujenga taswira za ubinafsi zaidi zipewe nafasi. Hivyo malalamiko katika jumuiya kuna umuhimu wa kuyapima kwa makini sana na just weigh both sides, la sivyo wengine ni kama vyombo vyenye kutu usiposafisha kutu kwa uangalifu utatoboa chombo.
Tatizo la Peramiho kuishi jumuiya ya Wazungu na Waafrika pamoja lilionekana mapema kadiri ya wachunguzi wa mambo. Wengi walitazamia watawa wa Hanga wangekuwa ndio warithi wa Abatia hiyo. lakini kwa sababu zao watawa wa Abatia Peramiho wakaona bora kuanzisha novitiate kwa ajili ya malezi ya watawa wazawa watakaoishi pamoja na wazungu katika shirika hilo. Jambo ambalo vijana wengi walijiunga na Peramiho lilianza kujitokeza mapema sababu ya hali njema ya uchumi kwa vile ni wazungu wana source ya kiuchumi kutoka Ulaya. Hali iliweza kugundulika kwamba vijana wengi walivutika na hali njema ya maisha ya kushi na wazungu badala ya dhana ya wito wa kitawa (kula viwangwa vya wazungu). Peramiho likawa kimbilio hata la waliochoka katika nyumba nyingine za watawa kama Hanga. Kuna jambo la msingi kwao kuwa makini katika kuwachuja vijana, maana mambo haya ya machimbo hayakuwepo walipokuwa wazungu pekee, ila yamekuja walipojiunga wazawa, baadhi yao kutokea Hanga Abbey, ila si busara kuwataja katika jukwaa hili, ingawa kuna mambo kadhaa waliyoyakimbia Hanga wameyakuta Peramiho ni sawa na yule mmonaki mmoja alivyoandika: "I left men in the world to find men in the monastery."
Mashirika ya watawa wanatakiwa kuwa makini sana na wanashirika ambao wanaacha nyumba nyingine na kutafuta kujiunga na nyumba nyingine, kwani kuna mambo ambayo hawaridhiki nayo, hata hivyo mambo ya mashirika ya nyumba za watawa ni yale yale, hivyo hakuna unafuu zaidi watakao pata zaidi ya kushika nadhiri za useja, ufukara na utii vifungo ambavyo kila shirika ndio msingi wa maisha. Matokeo yake wanapokutana ya yale yale waliyoyakimbia katika nyumba za awali huanzisha vikundi vya manung'uniko na kuona fulani ni tatizo kwao badala ya kuona tatizo lilolomo ndani mwao.
Abatia ya Peramiho iliteleza kwa kujiingiza katika mradi mkubwa kama huo uliokuwa nje ya ugo wa Monastery yao. Katika maelezo ya Gazeti Raia Mwema, aliyetia sahihi katika mikataba ya ubia huo ni Br. Aida na Br. Edmond Kimario. Kwa utaratibu wa shirika mwenye dhamana ya kutia sahihi ni Procurator wa shirika ndiye anayetambuliwa. Je, hawa atawa wawili walitumiwa na Abatia kama kivuli katika ubia wao au vijana hawa walifanya mambo yao peke yao na ilipobainika ikabidi tu kuubatiza mradi huo kuwa sehemu ya shughuli za Abatia? Pengine baada ya kutambua udhaifu huo Peramiho iliamua kujiondoa kwa vile utaratibu uliotumika ni kinyume cha Katiba ya shirika lao, Kanuni za Utawa na sheria za kanisa?
Mashirika hasa ya kidini kuna jambo la muhimu kuwa na umakini kuangalia athari zinazoweza kutokea kwa kutoeleweka itokeapo mitafaruku fulani kiuchumi, kiuongozi nk hasa zinazogusa maeneo ambayo si yao bali ni ya umma. Ninavyofahamu maeneo ambayo wanashirika wa shirika la kitawa wanatakiwa washughulike nalo hasa kiuchumi ni ndani ya eneo la uzio wao (closter - clausura) ndio maana waanzilishi walishaona hili na kuweka uzio wa maeneo yao ya kufanya shughuli zao za kila siku. Hali kadhalika kwa vile mashirika haya yamesajiliwa serikalini na kutengewa maeneo yao official, ni vigumu kuelewa namna walivyojiingiza katika mradi huo. Huko walikoenda walifika mbali mno na sidhani kama walishirikisha Makao Makuu ya shirika lao ambao kwa mtazamo wangu si tegemei kama wangeridhia. Kanuni, katiba na taratibu nyingine za mashirika ya watawa ni kwa lengo la kuwatengenezea mazingira mazuri ya kutulia katika utume wao wa sala na kazi hali kadhalika na huduma nyingine ambazo shirika linaona zinafaa na shughuli za jimbo pale katiba yao inavyoruhusu.
Jambo moja la msingi kuna wengi sana ambao walikuwa wanashirika watawa wa tawa mbalimbali Tanzania na duniani, Ex seminarians, Ex priests, Ex Noons, Ex Monks, nk, lakini utaona wanabaki na heshima ya mashirika yao, kanisa, jumuia zao, kwani hawako pale, lakini mioyo yao ingali pale. Mafanikio waliyofikia wanayaona ni huko walikokuwa. Vinginevyo kufanya kinyume ni sawa na kukata mti uliokuvusha mtoni, bila kufikiria kesho utakaporudi utavukaje. Hata hivyo Mashirika ya kitawa yafikirie wanashirika wanaoachishwa shirika hali ya mazingira ya maisha magumu watakayokutana nayo, maana kuna mashirika mengi hayawapi cho chote, na waanzapo maisha bila wasamaria wema mambo huwa mabaya maana katika maisha yao nguvu zao na akili zao vilitumika katika kulijenga shirika na katu hawakufanya cho chote kwa familia zao au kwa ajili ya future zao. Hata kama si utaratibu lakini ni jambo la kufikiria kibinadamu.
- Wanashirika walio rejected shirikani haina maana hawafai ila shirika limeona maisha yamekuwa mzigo kwao na washukuru kuwasaidia kuliko kuendelea kumdanganya Mungu.
- Mashirika yatanakiwa kuwa makini katika shughuli za miradi ya maendeleo hasa yaliyo nje ya uzio wa nyumba zao kwani shughuli hizo zinagusa wengi na yatokea matatizo au matukio yasiyokuwa ya kawaida maadui zao hupata nafasi ya kusimama kwenye weak point.
- Magezeti yanahitaji kufanya tathmini na utafiri wa kujiridhasha kabla ya news publication, la sivyo ni kupotosha umma, pia gazeti kutoaminika katika jamii, na kosa kama hilo mwenye kubeba lawama zake ni Mhariri Mkuu mwenye kuridhia habari zote muhimu katika newspaper publication.
- Wachangiaji tuwe watu tunaokuwa na mtazamo mpana, maana kuchangia mada kama hii kwa kuelekeza fikra kwamba wamehusika katika mauaji wakati habari haijaweka vithibitisho wa uhusika wao tunaonekana kuto kuwa makini katika kuchambua mambo mazito, kwani tuhuma za mauaji ni nzito sana katika jamii.
Nakala kwa: kamajuzi, msoro, Mohamed Ngwasu,
pointlessssssss....... huwezi kujisafisha kwa maneno labda kwa damu ya Yezu peke yake. ulianzisha huu uzi umesaidia na sisi kukujua ulivyo. ni sawa na mtu aliamua kujifunua mavazi yake na makovu yako tumeyaona, vilema vyako vimeonekana waziwazi hata watoto wadogo wamekujua na inabidi tujihazali na wewe uliyejificha kwenye kundi la kondoo.
Picha:Kushoto watawa wa Peramiho wakiwa kanisani kusali sala ya Ofisio (liturujia ya vipindi) na kulia ni Kanisa Kuu la Abatia Peramiho ambalo zamani yalikuwa makao makuu ya Jimbo la Peramiho iliyokuwa Abatia Nulius (Kuongozwa na mkuu wa shirika la watawa) imezaa Jimbo Kuu la Songea, Jimbo la Njombe na Jimbo la Mbinga, ambayo ni majimbo yanayoongozwa na Maakofu wazalendo.
Shirika la Wabenedition Tanzania ambalo ni tawi toka shirika la Mt. Otilia kutoka Ujerumani kuingizwa kwenye tetesi ya kashfa ya mauaji ya Mwanasheria Mwaikusa, ni jambo la kushtua na si la kawaida, pengine ni mbinu ya kuyumbisha ukweli wa kilichojilia, huku wakihusishwa Br. Aidan OSB na Br. Edmond OSB kwa kile kinachoelezwa sahihi za hao wanashirika la Benediction Fathers Peramiho kukutwa kwenye document ya Mwaka 2003 inayoonyesha wanahisa katika machimbo yamgodi wa Lukarasi.
Jambo linalonishangaza ni kuhusushwa Abate Lambert Dor OSB ambaye ni mkuu wa shirika hilo huko Peramiho, wakati wahusika ni hawa wawili pengine walifanya mikataba binafsi na si shirika.
Ninavyoelewa kuna upungufu mkubwa kuhusu habari hiyo kwa maana kwamba wenye mamlaka katika shirika lao kufanya mikataba si kila mwanashirika, ila ni Procurator wa shirika mwenye dhamana na mambo ya uchumi wa shirika, na udadisi wangu bado sina hakika kama hawa ni wako katika kitengo cha procurator ya Peramiho Abbey, huenda ni miradi binafsi inayofanywa na hao mabradha wawili na hivyo kulitia aibu na miskusuko shirika. Pengine uchunguzi ufanyike kwa kiwango cha kisheria, maana kama habari ilivyoletwa inatoa mswali ambayo kuna upungufu mkubwa wa kulihusisha shirika hilo ambalo makazi yake yako St. Otillien, nchini Ujerumani.
Habari hiyo ni kama ifuatavyo hapo chini nukuru kutoka gazeti la Raia Mwema.
Raia Mwema aliandika: "Kwa mujibu wa taarifa hizo, Profesa Mwaikusa naye alikuwa ameteuliwa kuwa mmoja wa wawakilishi wa shirika hilo kwenye mgodi huo wa dhahabu, kwa barua ya Agosti 12, 2003 iliyowekwa sahihi na Buruda Aidan na Buruda Edmund wote wakionyeshwa kuwa na hisa 2000."
Hii inaashiria kuwa kifo cha Prof Mwaikusa inatokana na kuteuliwa kwake kuingia katika bodi ya wakurugenzi. Je, kumbukumbu za fikra zinasema nini wakati kifo kilitokea?
Kifo hicho kilitokea ndani ya matukio kama vile harakati za uongozi mpya kubadilisha wanahisa waliokuwepo na kuweka wapya, kumshtaki aliyekuwa mwenyekiti wa bodi ya UMICO yaani Aidan Mhuwa, kumfukuza mwekezaji aliyekuwa amewekwa kihalali na bodi iliyokuwepo ya UMICO ambapo Mwaikusa alikuwa mwanasheria wake bila kufuata taratibu, mwekezaji kufaili madai ya 3.7 bilion mahakamani n.k. Je katika mazingira hayo bodi ya UMICO isigemtegemea sana Mwaikusa kuyatatua? Je, bodi mpya UMICO ingefurahia kuendelea uwepo wa Mwaikusa ktk bodi iliyoshambatishwa na akina Fr. Fidelis na wenzake?
pointlessssssss....... huwezi kujisafisha kwa maneno labda kwa damu ya Yezu peke yake. ulianzisha huu uzi umesaidia na sisi kukujua ulivyo. ni sawa na mtu aliamua kujifunua mavazi yake na makovu yako tumeyaona, vilema vyako vimeonekana waziwazi hata watoto wadogo wamekujua na inabidi tujihazali na wewe uliyejificha kwenye kundi la kondoo.
pointlessssssss....... huwezi kujisafisha kwa maneno labda kwa damu ya Yezu peke yake. ulianzisha huu uzi umesaidia na sisi kukujua ulivyo. ni sawa na mtu aliamua kujifunua mavazi yake na makovu yako tumeyaona, vilema vyako vimeonekana waziwazi hata watoto wadogo wamekujua na inabidi tujihazali na wewe uliyejificha kwenye kundi la kondoo.
Majambazi walitoa uhai wake baada ya kutao taarifa ya kumuona david balali mitaa fulani huko ugaibuni
Prof. Mwaikusa alikuwa ni Wakili, na alihusika katika kesi maarufu kama vile kesi za Mahakama Maalumu Kwa Ajili ya Mauaji ya Rwanda ya 1994, na ile ya Mgombea Binafsi, hapa Tanzania.
Hayati mwaikusa alikufa katika mazingira tata ya kupigwa risasi nyumbani kwake Tegeta Salasala......Nani alimuua??