masatujr1985
JF-Expert Member
- Oct 27, 2011
- 1,980
- 788
Kanisa na mauaji?????? Mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
Buluda fr fidelis mligo kwake kuua siyo kazi ili atimize matakwa yake. naombeni mhuwa na edmund wapewe habari hii, wajihami maana alianza na kuua prof, akataka kuua mhuwa nimeambiwa leo kuwa huyu alistukia akaondoka kurudi kwao kwa ajili ya usalama wake ndipo akaona kwa kuwa kaondoka wacha nimfunge ili nikawahonge askari magereza kama alivyokuwa anawahonga polisi kirahisi wamuulie hukohuko, matokeo yake Mungu kamtoa ndani yupo nje. zimetimia arobaini zako fidelis mligo, acha kulichafua kanisa, vinginevyo sijui Mungu na akuamulie kwa maovu unayotenda.Mohamed,
umenikumbusha huyu Fr. Fidelis miaka ile ya 2001 alimwandikia barua chafu mno Br. Edmund wakati huo akiwa ameshikilia umakumu wa pili katika shirika hili. Barua hiyo ilimchukiza edmund akaamua kuwasambazia watawa wote na kisha akaachia nafasi zote za uongozi alizokuwa amashika. Tendo hilo lilimuumiza sana abate lambert hata akaiacha nafasi hiyo wazi kwa mwaka mzima bila kumteua mwingine. baadaye nafasi hiyo ilishikwa na Aidan.
Huyu padiri fidelis mligo lifanya safari moja ugaibuni, huko tulikutana na katika kushiriki mvinyo, bila shida akajigamba alivyomfanyia buruda edmund kitu kibaya kwa kuandika barua ile chafu. Siwezi kushangaa kuwa hadi leo anazidi kumwandama. Nafikiri mwenendo safi na maaddili ya edmund pamoja na uwezo wake ndivyo vinavyomtia wivu na chuku binafsi. Hakika uhahi wa edmund unaweza kuwa mashakani, sembuze maisha yake kama mtawa.
Buluda fr fidelis mligo kwake kuua siyo kazi ili atimize matakwa yake. naombeni mhuwa na edmund wapewe habari hii, wajihami maana alianza na kuua prof, akataka kuua mhuwa nimeambiwa leo kuwa huyu alistukia akaondoka kurudi kwao kwa ajili ya usalama wake ndipo akaona kwa kuwa kaondoka wacha nimfunge ili nikawahonge askari magereza kama alivyokuwa anawahonga polisi kirahisi wamuulie hukohuko, matokeo yake Mungu kamtoa ndani yupo nje. zimetimia arobaini zako fidelis mligo, acha kulichafua kanisa, vinginevyo sijui Mungu na akuamulie kwa maovu unayotenda.
Mkuu gazeti la jana raia mwema limefika muda huu, wacha kwanza tuliinamie nitarudi baadaye.
Moma2k na Candid Scope,
wote mabandiko yenu yanatokea humu ndani abasia ya Peramiho. hebu toeni kitu kuhusu koti hiyo hapo juu. au mmeguswa palipo uvungu ya paja. Kama hoja hii ipo mbali na mauaji ya Prof tujibuni.
Nasubiri kusoma gazeti la jana. Nakala ipo njiani kuja Peramiho. Hebu tuone mambo yakoje.
kama hamuhusiki na kifo cha mwaikusa, basi toeni namba za simu za hao waliofanya kazi naye kuiwezesha jamii inayokerwa kuwahoji.
binafsi sina shida na abate lambert wala na watawa waadilifu, isipokuwa kuna wahuni kiongozi wao buluda fidelis mligo. leo nimepita hadi hospitali alimladi kuzungukia maeneo, nikarudi abasia kunusa upepo, mmhh 'umafia wa fidelis' ndiyo gumzo. amekosa utulivu anafokeana bila sababu ya msingi, kitu kilichofanya watu waulizane nini kimempata, na baba mmoja akawafungulia kipande cha gazeti la wk jana. wakafunguka mwaaa. ni kama hadithi. kesho tunapata magazeti ya leo huku songea, wa mjini hamjaweka humu jameni na sisi wa mbali tukasoma mapema. huku bado ni kijijini ingawa mjini.
Moma2k na Candid Scope,
Kwa nini tangu niposti mistari hii mmepotea moja kwa moja. Nilijua tu ni mbinu za kupoteza malengo na ufanisi wa kuwapata wauaji wa Prof. Mwaikusa. Nimesoma gazeti la jana, sasa namcheki prior wangu Fidelis humu humu ndani nione reaction zake. Kama hawa jamaa hawajitokezi hadi kesho, nitaipigia polisi cmu ije kuwa kamata. Kazi kwisha.
Simfahamu huyo umsemaye, kuhusu tabia ya mtu mmoja mmoja, sina la kusema. Tatizo langu ni kuchukua tatizo la mtu mmoja na kulibebesha watu au Taasisi. Haiwezekani. Watawa wa Benedictines OSB ni wazuri na wana mchango mkubwa kwa maendeleo ya Taifa. Buruda mmoja anaweza fukuzwa na shirika likabaki. Kuna matukio mapadre wamefukuzwa. Nisichokubaliana nacho ni jaribio la kutaka kuliingiza shirika la watawa katika kasfa wakati hakuna ushahidi isipokuwa hisia tu.
Hiyo ndiyo hoja iliyonisukuma kuleta mada hii. Kama uthibitisho ungewekwa wazi vyombo vya dola vingeshachukua hatua, lakini kinachoonekana ni hisia, na hili limeonekana wazi na uongozi wa Abatia kutolea ufafanuzi kwamba mmoja ambaye amefukuzwa na kabisa kuja kuona hana nafasi tena katika mradi ule kwa vile Abasia ilishajitoa, hapo ndipo mwenye moyo mchache anapoamua kugeuka mbwa mwitu kushika shoka kukata tawi lililomlsaidia mafanikio yake.
Jambo moja ninaloweza kulisoma inaelekea hawa wawili waliokuwa na sahihi zao ndio wenye kuliendesha suala hilo, na ni hao hao tunaoshindana nao kwa hoja hapa.
Hiyo ndiyo hoja iliyonisukuma kuleta mada hii. Kama uthibitisho ungewekwa wazi vyombo vya dola vingeshachukua hatua, lakini kinachoonekana ni hisia, na hili limeonekana wazi na uongozi wa Abatia kutolea ufafanuzi kwamba mmoja ambaye amefukuzwa na kabisa kuja kuona hana nafasi tena katika mradi ule kwa vile Abasia ilishajitoa, hapo ndipo mwenye moyo mchache anapoamua kugeuka mbwa mwitu kushika shoka kukata tawi lililomlsaidia mafanikio yake.
Jambo moja ninaloweza kulisoma inaelekea hawa wawili waliokuwa na sahihi zao ndio wenye kuliendesha suala hilo, na ni hao hao tunaoshindana nao kwa hoja hapa.
Sishindi kwenye keyboard kuandika yatokeayo JF na duniani, nina shughuli zangu binafsi na ajira zinazonipa uhai. Upenyo na wakati nafasi inapopatikana naweza kujitokeza kwenye jamvi hili kuchangiana mawazo. Mapenzi yangu kwa JF si jukwaa moja au mada moja, niko mrefu na kina kirefu, siwezi kubaki kisiwa kwa kitu kimoja vinginevyo nitakuwa na ajenda maalumu na mtu mwenye upeo finyuwengine kama wengine jasho jasho linavyowatoka hapa wakati mie ni hoby tu muda niwapo huru katika kazi na familia.
Mada yangu ni mauaji yanayohusisha kupangwa na Abatia Peramiho, ninachosisitiza ni uthibitisho, haya maneno oh kuna wabena au wa Njombe sijui kupendeleana, or mara nini ni blabla ambazo hazisaidii kitu kisheria, hapa tuhuma ni nzito, vielelezo na documents for evedence ambavyo vinathibitisha vyombo vya habari kuchukua hatu ndicho kinachotakiwa, vinginevyo ni malalamiko ya wenye matatizo binafsi.
Mahali po pote kwenye kukutana wengi hutakosa kasoro za kufikirika kidini, kikabila, kiuchumi, kiupendeleo nk. Haya siyaoni kama mambo ya ajabu na kabisa kwa wale ambao maisha yanaelekea kuwashinda kuwa magumu kwao katika community dalili ndio hizo. Iwe katika siasa, vyuo, madomitolini, maofisini, makanisani, misikitini, ni jambo la kawaida kwa vile binadamu hatufanani, kila mmoja ameumbwa kwa namna yake na kadiri ya Makusudio ya Muumba wetu. Sawa na ukiona watu wa ndoa wanaonyesha kutulia usijefikiria mambo ni swafi, ila tu wamejenga dhana ya kuvumiliana, hilo ni katika aina ye yote ya maisha fadhila ya uvumilivu ndio siri ya upendano na ushirikiano, la sivyo ni vurugu tupu tangu asubuhi mpaka jioni.
Kuishi kwingi ni kuona mengi.
Kama umeweza kufuatilia vizuri majadiliano haya, unaweza kugundua kitu ambacho si kwamba kuna hayo mauaji yaliyopangwa ila ni kitu kilichozushwa na kuendelezwa na baadhi yao ambao yamewakuta kwa sababu ya kutufuata katiba, sheria, kanuni na taratibu nyingine na kuishia huko kushtakiwa na kuonja jela. Huko wanakurupuka kama simba aliyejeruhiwa. Huyo kwa vyo vyote ana kundi lake na hao tunao hapa kwanye mada hii.
Wengi wetu tumeonja maisha ya jumuiya mashuleni, jeshini, makazini, maisha hayo hayana tofauti na maisha ya kawaida, tena pengine huweza kuwa mbaya zaidi. Na kabisa mtu akichoka na maisha tusishangae kauli za utata na kuona shirika ni baya na wakubwa wake, au kuona fulani ni tatizo kwake, kumbe tatizo ni yeye mwenyewe aliyetengeneza mazingira yanayomtatiza.
Tafadhali soma tena bandiko langu hili nililoandika jana na litafakari vizuri kisha nipe majibu una mtazamo gani pamoja na bandiko hili la sasa.
Sishindi kwenye keyboard kuandika yatokeayo JF na duniani, nina shughuli zangu binafsi na ajira zinazonipa uhai. Upenyo na wakati nafasi inapopatikana naweza kujitokeza kwenye jamvi hili kuchangiana mawazo. Mapenzi yangu kwa JF si jukwaa moja au mada moja, niko mrefu na kina kirefu, siwezi kubaki kisiwa kwa kitu kimoja vinginevyo nitakuwa na ajenda maalumu na mtu mwenye upeo finyuwengine kama wengine jasho jasho linavyowatoka hapa wakati mie ni hoby tu muda niwapo huru katika kazi na familia.
Mada yangu ni mauaji yanayohusisha kupangwa na Abatia Peramiho, ninachosisitiza ni uthibitisho, haya maneno oh kuna wabena au wa Njombe sijui kupendeleana, or mara nini ni blabla ambazo hazisaidii kitu kisheria, hapa tuhuma ni nzito, vielelezo na documents for evedence ambavyo vinathibitisha vyombo vya habari kuchukua hatu ndicho kinachotakiwa, vinginevyo ni malalamiko ya wenye matatizo binafsi.
Mahali po pote kwenye kukutana wengi hutakosa kasoro za kufikirika kidini, kikabila, kiuchumi, kiupendeleo nk. Haya siyaoni kama mambo ya ajabu na kabisa kwa wale ambao maisha yanaelekea kuwashinda kuwa magumu kwao katika community dalili ndio hizo. Iwe katika siasa, vyuo, madomitolini, maofisini, makanisani, misikitini, ni jambo la kawaida kwa vile binadamu hatufanani, kila mmoja ameumbwa kwa namna yake na kadiri ya Makusudio ya Muumba wetu. Sawa na ukiona watu wa ndoa wanaonyesha kutulia usijefikiria mambo ni swafi, ila tu wamejenga dhana ya kuvumiliana, hilo ni katika aina ye yote ya maisha fadhila ya uvumilivu ndio siri ya upendano na ushirikiano, la sivyo ni vurugu tupu tangu asubuhi mpaka jioni.
Kuishi kwingi ni kuona mengi.
Edmund na aidan walikuwa njia moja na hayati na pia hawko njia moja na fidelis mligo kwa hiyo wao wanaweza kuwa mashahidi lkn nafikiri sasa kwa jinsi watu wanavyofunguka tunapaswa kuwatazama kwa makini hao watu ksb kuna mtu kaniambia kuwa wana mtandao mkubwa sna kuanzia serikalini polisi mahakama hadi magereza.Nakubaliana nawe kuwa hizo ni hisia na tuhuma. Kawaida vyombo vya dola kunapo kuwepo tuhuma nzito kama hii ya mauaji, huwashikilia watuhumiwa au huwahoji kwa kina. Vyombo hivyo havija fanya hivyo. Hilo halinishangazi, kama kweli Fr. Fidelis alitoa milioni 30 kumfunga Br. Aidan, halafu halipo la kushangaza Fr. Fidelis kutumia pesa ili kufifisha tuhuma hizi.
Uongozi wa abasia umetolea ufafanuzi kwa waandishi kukanusha ilichoandikwa katika gazeti husika. Pamoja na hilo, katika formu hii jina la Fr. Fidelis natajwa lukuki kuwa ndiye mhusika. Ni huyuhuyu analiambia gazeti kuwa habari hiyo imeandikwa kwa lengo la kulipiza kisasi, zaidi ya hayo ndiye makamu wa kwanza wa kiongozi wa watawa wa Peramiho, na ndiye aliyehusika kama kinara wa mkakati wa kujiondoa katika umiliki wa mgodi wa Lukarasi. Haitakuwa vema kumwamini kirahisi kiasi hiki kuwa anachosema au kuandika kina mashiko ya kutosha.
Tunalo jeshi la polisi na usalama wa taifa, vipi washindwe kupeleleza tuhuma hizi jamani. Nimewashauri waanze sasa kwa kupitia gazeti la Raia Mwema, kwani aliyepeleka habari hiyo kwa hakika anaoushahidi uliomfanya mhariri wa gazeti kuchapisha habari hizi.
Nionavyo mimi hatua hizi zingechukulia, yaani vyombo husika kuwahoji au kuwakamata wafuatao:
Kundi la kwanza ni wale wanaotajwa kuwa na sahihi zao zilizoonekana kwa marehemu Mwaikusa yaani Aidan na Edmund, pamoja na Lambert. Hawa ndio waliokuwa na marehemu katika kuendesha kampuni na ndio waliojua Mwaikusa anazo document nyeti. Upo mpaka hapo!
Kundi la pili ni Fr. Fidelis anayetajwa sana kwa maovu, na ni kiongozi wa sasa wa Abasia. Haya yoote yametokea ndani ya uongozi wake. Gaziti linasema mipango ilifanyika ndani ya abasia, hivyo atakuwa na la kusema na kushuhudia.
Kundi la tatu ni KATIBU wa UMICO aliyewandikia wakurugenzi wa zamani yaani marehemu Mwaikusa, Edmund na Aidan barua ya kuwaachisha ukurugenzi. Huyu katibu ndiye anayefahamu wakurugenzi wapya wa UMICO ni nani. Kama kweli mauanji hayo yanahusishwa na mgadi huo wa Lukarasi, basi upo uwezekano mkubwa wa wakurugenzi hao kuyatekeleza ili kulinda walichoamua kukifanya katika uongozi wao. Katibu atasema imekuwaje huyo marehemu Mwaikusa kuendelea kuhifadhi document za UMICO wakati alishangolewa katika wadhifa huo.
Kundi la nne ni huyo rafiki anayetajwa na familia ya Mwaikusa. Huyo bwana huenda alijua mengi kuhusiana na Mwakukusa na mgodi huo wa dhahabu.
Edmund na aidan walikuwa njia moja na hayati na pia hawko njia moja na fidelis mligo kwa hiyo wao wanaweza kuwa mashahidi lkn nafikiri sasa kwa jinsi watu wanavyofunguka tunapaswa kuwatazama kwa makini hao watu ksb kuna mtu kaniambia kuwa wana mtandao mkubwa sna kuanzia serikalini polisi mahakama hadi magereza.
Yaani ulivyonipa tu hii ishu ya kukatiwa umeme seminarini ikabidi niphone kwenye chanzo changu cha habari kule songea aise ni kweli nasikia aliyetoa amri ya kukata umeme ni fidelis inaonekana ana bifu na Amigu. Yeye kasingizia kuwa wana madeni sasa lipi bora kuwaachia watumishi halali wa mungu umeme au kutoa hela kwa ajili ya umafia na ufuska. na yeye nasikia kuwa kasoma palepale!Muhamed umenichekesha, ijapokuwa umeongea ukweli. jina la shilika limeshapindishwa, hawa jamaa wa geleji ni buluda Anselmo, na Alphonce, chuoni ni mukasa ambaye sijamuona nina muda, nimeambiwa ameenda kusoma morogoro. Hii ni timu ya hatari, ambayo inatumiwa na buluda fr fidelis akisaidiwa na wahuni wa mjini kama Jonson Nchembe kuwaua na kuwatesa watawa. ukiwa juu kidogo wanakupiga nyundo.
Nimekutana na baadhi ya watawa bado wanamwombolezea buluda aidan kwa namna alivyoonewa, na kudhalilishwa kwingi, akawalipa wanahabari mbalimbali ili wamwandike vibaya. amefanya hivyo na kuwatishia wale wanaofulukuta kuwa wataishia hivyo hivyo. Edmundi wanasema alipelekwa uwemba ili kumkomoa, na bado maisha yake yapo hatarini.
Kwa sasa seminarini kuna giza wamekatiwa umeme. kumbe alimuondoa mtaalam wa umeme na ona sasa nyumba ina shida ya umeme. mwaka huu tutasikia mengi tu.
pole kaka unajua kama kunguru habebeki yaani mimi nina mtu wa karibu sana anawajua hawa jamaa sasa tunapoongelea shirika ni kweli kama shirika haliwezi kuhusika isipokuwa viongozi na wajumbe kwa mfano kama rais na mawaziri pamoja na wabunge wakipanga mishen tutasema imepangwa na nani kama sio serikali. kwa hiyo kama Ni fidelis ambaye ni prior wa sasa na wajumbe wote wanaounda kamati kuu ya shirika akiwemo yule mkuu wa chuo cha ufundi pale kuna mtu anaitwa br alphonce mwingine meneja wa printing press, meneja wa Garage na viongozi wengine wote wako ktk troops moja in case wakapanga mchongo wowote tutasema nani kama sio shirika. hao wote sijui wanatumia nguvu ya giza maamnake jinsi walivyomshika abbate huwezi amini wamefanya hadi shirika liitwe wabena dictine fathers hakuna wanachokifanya pale ni ufisadi starehe na uzinzi tu hadi wanakamatwa ugoni. wamelivuruga sana shirika Edmund na Aidan walikuwa ndiyo nguzo ya shirika kwa mabruda wazalendo kwani ndiyo wasomi wataalam wa kwanza Edmund akiwa kama mtaalam wa umeme electronics na computer na aidan mtaalamu wa ujenzi walichukiwa sana na fidelis na akaamua kutumia kila hila kwa kushirikiana na vijana wasanii wasanii kutoka pale songea mjiikumfunga aidan na edmund kumhamisha peramiho na kuacha idara ya umeme inasuasua baada ya kufanya hila za kumwondoa utawani aliyekuwa anasimamia idara hiyo bruda God. na sasa amempa majukumu ya umeme alphonce ambaye ni kihiyo kwisha kazi na si mtaalam wa chochote zaidi tu miaka 8 iliyopita alikuwa anajaribu kujifunza kuchonga vyuma napo hakufauru. tunachoomba hawa wabena wasilichafue shirika hii bf ni kubwa sana na lina heshima kubwa sasa watu wachache wanafanya shirika linaingizwa kwenye kashfa ya mauaji sijapenda. abbate timua hao watakufanya urudi ujerumani kwa mguu.