Who is the real threat to CHADEMA 2015 ?

Who is the real threat to CHADEMA 2015 ?

Gefu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2010
Posts
6,929
Reaction score
2,567
Wakuu mojs ya mbinu za ushi ni kumjua vilivyo adui yako. Kuelekea uchaguzi mkuu 2015 nani anaonekana kuwa anaweza kuleta changamoto kwetu

.. Membe ?
..Lowasa ?
..Sita ?
..Shein ?
..Pinda ?
..Dovutwa ?
..Lipumba ?
..Magufuli ?

Nani kati ya hawa au wengine unaowafikiria, zipi ni strength zao na weakness zao..in anycase upinzani utakuwepo so tusi waanda estimeti hawa jamaa..
 
Kwa mtizamo wangu kwa yeyote atakayesimamishwa kati ya Lowasa na Magufuli upinzani utakuwepo lakini sio waliobaki hakuna upinzani wowote.
 
...strength kiutendaji,kwenye kuuza sera compared to Dr Slaa wakoje...

Muulize Prof. Mbele aliyeshauri video ya mdahalo wa Dr. Slaa ITV wa mwaka 2010 upelekwe kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari ili kuwajengea uzalendo. Sina uhakika kama kuna uwezekano wa mtu yoyote hapa Tanzania kushauri video za mdahalo wa kiongozi mwingine anayeishi zipelekwe kwa wanafunzi
 
...dah mkuu huyu dogo wakimsimamisha nachukua form maana najua nitamtoa tu,anyway sidhani kama ni tishio kwa cdm maana sera na mfumo wa siasa zake ni za matukio na unazi sana hazilengi hoja, kifupi ni mwanasiasa asiye na sifa za uongozi. ni mtazamo wangu..
 
Muulize Prof. Mbele aliyeshauri video ya mdahalo wa Dr. Slaa ITV wa mwaka 2010 upelekwe kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari ili kuwajengea uzalendo. Sina uhakika kama kuna uwezekano wa mtu yoyote hapa Tanzania kushauri video za mdahalo wa kiongozi mwingine anayeishi zipelekwe kwa wanafunzi
...nakubaliana na wewe Dr yuko juu sana, lakini sitaki watu sapraizi, Sita nahisi ana maadui wengi ndani ya chama, Magufuli hatabiriki na haangalii kushoto wala kulia yeye mbele daima...
 
kikulacho kinguoni mwako. The real threat is their internal organisation.
wakijipanga vipoa kidemokrasia hawana mpinzani. but hawajajipanga sasa...
 
Kwe vile Mafufuli hawezi kupitishwa na ccm ipo wazi hakuna mtu wa kuwa mpinzani hapo.
 
Threat kubwa ya CHADEMA ni washabiki wake wasiopiga kura!(NA WAKO WENGI SANA)...otherwise its a FREE walk on a red carpet to MAGOGONI
 
Back
Top Bottom