Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,966
- 12,435
Embu nipe madini nikichangamka kuna ziada nitapata? 😂🙌😂😂😂 wewe changamka bhana acha mbwembwe
Si unaona kupoa hakujakusaidia kitu
Embu nipe madini nikichangamka kuna ziada nitapata? 😂🙌😂😂😂 wewe changamka bhana acha mbwembwe
Si unaona kupoa hakujakusaidia kitu
Ahsante jamani mumy. 🙏
Mie Niko poa,Nashukuru Allah.Ahsante jamani mumy. 🙏
I hope uko poa mwaya.
Mie sijambo pia jamani. 🤝Mie Niko poa,Nashukuru Allah.
Hafu kwako dada.
Mimi pia Niko poa😍,vipi huko mmepata ngapi?Mie sijambo pia jamani. 🤝
Tena nlishajisahau ujue. 🤣🤣Mimi pia Niko poa😍,vipi huko mmepata ngapi?
🤣🤣🤣🤣🤣,Hongereni.Tena nlishajisahau ujue. 🤣🤣
Sasa tuna 3 - 1
Wewe mkuuuNitaanza na hawa dosho12 Vincenzo Jr
Upande wa manzi kuna Carleen na leo dada
Hawa jamaa wapo active ila sijawah kuona wanafanya ukorofi humu.
Wataje wengine🫵
Anauhandsome gani zaidi ya kuwaza mizimu yake tu na yale masikio yake madogo woiHuu uzi bila kumtaja Mshana Jr ni batili
Hata wewe ni handsome weh tena gentlemanNina fokasi na nini vile?
Eeeh,inakuja na Al Ahly😁Ahsante sana mdogo wangu.
Yaani! 😀😀Eeeh,inakuja na Al Ahly😁
Mhmmm sweetieHata wewe ni handsome weh tena gentleman
Ndio best yangu nitakuachaje kukutaja best yangu wa moyoMhmmm sweetie
🤣🤣🤣🤣🤣🤣,iwe hivyo,Yaani! 😀😀
Ila wale iwe mvua iwe jua points 3 zetu watatwachia.
Sante sana swetie😗Ndio best yangu nitakuachaje kukutaja best yangu wa moyo
Hahahaaaa. Lol.🤣🤣🤣🤣🤣🤣,iwe hivyo,
Sasa hutakii?? Khaaah 😂😂😂😂😂Muoneni huyu, Eti kashukuru 🤣