Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 18,798
- 57,309
Na Uzee huu hatuna jambo kabisa 🤗
Na Uzee huu hatuna jambo kabisa 🤗
Kweli umezeeka sio kwa kupotea huko!Na Uzee huu hatuna jambo kabisa 🤗
Hahaha........wewe mwenyewe umenitenga Babu yakoKweli umezeeka sio kwa kupotea huko!
Nikajua babu yuko vacation aisee, ngoja nije nikutoe nje nikuanike juani😆Hahaha........wewe mwenyewe umenitenga Babu yako
Imagine hadi muda huu hujapita kuniamsha nikaote Jua la asubuhi 🤗
Vacation imeisha tayari, ufanye upite kunisalimia Babu yakoNikajua babu yuko vacation aisee, ngoja nije nikutoe nje nikuanike juani😆
Nakuja babuzz😝Vacation imeisha tayari, ufanye upite kunisalimia Babu yako
Nakusubiri Mjukuu 😅Nakuja babuzz😝
Dogo unafki umeanza lini ?Nyie fungeni harusi, mimi na Abdu Shiraz tutakuwa wanakamati.
Sweetheart unanionea tu
Mhhh,Sweetheart unanionea tu
Kwanza uliendaga wapi??Mhhh,
Siasa.
Mambo mengi muda unaopatikana unatumia kuzuga kulala.Kwanza uliendaga wapi??
Nimefurahi kukuona tenaMambo mengi muda unaopatikana unatumia kuzuga kulala.
Nipo nipo kwa Sasa.
Woooow,Nimefurahi kukuona tena
Unataka tugandiane 😁😁Ndio. Karibu tugande wote
Nimesema kuganda na sio kugandiana na wewe muone kwanza😂Unataka tugandiane 😁😁
Mwezi wa Saba Narudia huko.
Aah, kiswahili yangu huwa mbovu Kuna mda.Nimesema kuganda na sio kugandiana na wewe muone kwanza😂