Guy guy guy guuuuuuuuuuuy.. De finest from KG
Kisses π
Huyo mchovu tuu hawezi tusumbua kakaSafi ndugu naona Leo mmepiga arsenal πππ
Dah π masikini akipataHuyo mchovu tuu hawezi tusumbua kaka
Ila haya maisha bwana, eti secretarybird huyu jamaa Castle_Lite anamtaja Lamomy eti nae ni cool guy, mtu muda wote ana nongwa utafikiri ana endless ovulation ndio cool girl
View attachment 3534432
Asante ice.
Kipofu kauona mweziπππpolee sana, ndiyo hivyo nishakupiga na kitu kizito
Kwa nini?Hapana sio kweli
Mbona hujaweka caption π€£π€£π€£
Oh!! Ngoja...Mbona hujaweka caption π€£π€£π€£
Amen ππOh!! Ngoja...
Ndugu yangu ahsante.min -me yupo cool ila ukimkuta bange zipo kumkichwa ukimzingua anakuzingua .
Hanaga uchokozi wa kiduwanzi bila sababu za msingi.
Shadeeya : kwa Wanawake namba moja , mstaraabu ,mchangamfu , hanaga mabifu , ugomvi , kujibizana na mtu vibaya wala humkuti kwenye Mada za fujo.
Pascal Mayalla ni hazina ya Jf sijawahi kushudia akimjibu mtu vibaya akimtukana na kumchukia . Yaani hata umtukane na kunishambulia vibaya yeye anatanguliza upole.
Mohamed Said . Hata uje kwa matusi na ukali.yeye ana stick kwenye hoja bila kudeal na wee personally
Selikavu : Mwanadiplomasia Bora wa Jf
Razorblade : Mzee wa kutuliza ghasia.
adriz : hapendi ugomvi ila jinsi utakavyokuja ndivyo atakavyokupokea.
Heee. Kumbe we ni wa nyumbani. π€ͺDosho ni jina la kidigo, hivi hakuna mdigo humu aje athibitisheπ
Kwa sababu sio kweliKwa nini?
Ahsante sana Twinnie.mshamba_hachekwi nae hajawahi kugombana huyu
Na dada yangu mpole of all time Shadeeya
Bado kidogo nimtaje Carleen nikakumbuka kitu π€£