Kama kawaida yake anapambaniaga kombeπ€£ hana uoga kabisaπ kijana upo makini kwenye kutafuta fursa
Ooh thank youu dear witnessj hata wewe hunaga shida na mtuπ₯°financial services mdada mpole sana ....heshima , adabu vimetamalaki
Nimechungulia uvunguni nimekutana na BELAYA/goryachaya voda yaaani the vodkaaaaaaaaaaπππππππ leo nna siku mbaya sana, na arsena kafungwa dah π
Ahsante dear Joanah hata wewe uko charming huwa naenjoy na kucheka nikikutana na comments zakoπvipi lile wazo la kupata katoto this year uko serious? I wish tooπfinancial services hana shida na watu huyu dada
Ahsante dear Joanah hata wewe uko charming huwa naenjoy na kucheka nikikutana na comments zakoπvipi lile wazo la kupata katoto this year uko serious? I wish tooπ
Umependeka karibu.
All the best dearπHahahahh jiandae kuitwa auntie mwaka huu π
Huwezi kupinga namna hiyo πΉπΉπΉIla haya maisha bwana, eti secretarybird huyu jamaa Castle_Lite anamtaja Lamomy eti nae ni cool guy, mtu muda wote ana nongwa utafikiri ana endles ovulation ndio cool girl
View attachment 3534432
Mahii uduguu umenipatiaaa, muhimu kwangu ni ba tamu kunipa anachofichaga ndani ya boxer ake.raraa reree hata ukimtukana analike mitusi yako ukafie mbele πΉπΉπΉ
min -me yeye hata akijobolewa na manzi anayempenda hajali anafocus na kupewa kitumbua π€£πΉπΉ
Smart911 yeye concubines wake wapigane, watupiane vijembe watajiju muhimu anawapelekea moto kila mmoja kwa wakati wake πΉ
cocastic yeye hata mkimuita shoga anawachekea sio shida zake muhimu anapewa dyudyu na baba tamu wake kwa wakati..!! πΉ
Lamomy π
Huyu ni bampa to bampa unavyokuja ndo utakavyopokewa haijalishi wewe ni nani JF πΉπΉ
Ulitaka niombe kwa mishangazi ndiyo uridhikeYani huogopi kabisa kuongea hivi na kijana mwenzioππ½ββοΈ
Napooz machungu ya arsenal ππ kijana upo makini kwenye kutafuta fursa
Sasa ndio wa jinsia moja kweli bro πUlitaka niombe kwa mishangazi ndiyo uridhike
πΉπΉπΉ uduguu nakupata mubasharaMahii uduguu umenipatiaaa, muhimu kwangu ni ba tamu kunipa anachofichaga ndani ya boxer ake.
Haya mengine nayamudu atiiii.
πππππππ
πππpolee sana, ndiyo hivyo nishakupiga na kitu kizitoSikuwahi kuwaza kama una uwezo wa kufanya vile, nimekasirika sana!
Tuishi humooooπUmependeka karibu.
Familiya kwenye 1 na 2, paoja sana General.min -me yupo cool ila ukimkuta bange zipo kumkichwa ukimzingua anakuzingua .
Hanaga uchokozi wa kiduwanzi bila sababu za msingi.
Shadeeya : kwa Wanawake namba moja , mstaraabu ,mchangamfu , hanaga mabifu , ugomvi , kujibizana na mtu vibaya wala humkuti kwenye Mada za fujo.
Pascal Mayalla ni hazina ya Jf sijawahi kushudia akimjibu mtu vibaya akimtukana na kumchukia . Yaani hata umtukane na kunishambulia vibaya yeye anatanguliza upole.
Mohamed Said . Hata uje kwa matusi na ukali.yeye ana stick kwenye hoja bila kudeal na wee personally
Selikavu : Mwanadiplomasia Bora wa Jf
Razorblade : Mzee wa kutuliza ghasia.
adriz : hampendi ugomvi ila jinsi utakavyokuja ndivyo atakavyokupokea.
Kwa heshima familiya πHarmful Mr Q Vincenzo Jr Guacamole Ndege Tai Lavit
rip faza_nelly Living Pablo na crew ya majobless pro max Intelligent businessman Edo kissy Thecoder Selikavu Razorblade
Unaijua Pie ya kwenye hesabuSasa ndio wa jinsia moja kweli bro π