BIG BROTHER ALEX
JF-Expert Member
- Sep 24, 2025
- 1,293
- 2,258
Haha SHIDA NYIE vijana mkivita mnatu bakia watoto wetuHaiwezekani kila nyuzi mnaniruka
This time najipakulia minofu mwenyewe
BLACKTIGER
Nipo chimbo nakula ganja sitaki usumbufu!
Hahhhahah madame dosho12 dadeqqq
Sahivi wamekimbia wote ๐๐Walijua tunatania๐
๐๐๐ nakusalimia Mubaba wanguNgoja uchezee leo ndio utajua!
Sawa sawa mkuu๐๐japo ushaisha nilikuwa kuwaangalia
Bado hujasepa anakuja sasa hivi anarequest hapa๐๐
Unaniwazia ipo siku nitakuwa masta wa chapati labdaumenifanya kila nikiona mada ya chapoo humu ndani lazima nikuwaze..!๐
Top notch ๐Unajikuta una akili nyingi hahaha...
SanaHizi nicknames nyingine zinafikirisha sana...
Uwakika Chaupole wetu๐๐๐Bado nipo njoo nae ๐
Bado janga la taifa kwan mkuu nilidhan umeachana na mikate ya kiyahudi saivi umekuwa pro๐Unaniwazia ipo siku nitakuwa masta wa chapati labda
Wapo vijana wengi hawajui match wwSasa hapo nathibitisha we ni mdada pure
๐๐๐๐ mikate ya kiyahudi asee nimelia sanaBado janga la taifa kwan mkuu nilidhan umeachana na mikate ya kiyahudi saivi umekuwa pro๐
Uwakika Chaupole wetu๐๐๐
Huwezi jua mkuu Bongo bahati mbaya ilatakiwa uwe Middle east huko si unaona huwa unatengezeza mikate yao๐๐๐Asili haijifichi๐๐๐๐๐๐ mikate ya kiyahudi asee nimelia sana
Aaah mie na mapishi tushashindwana huko
Dosho ni jina la kidigo, hivi hakuna mdigo humu aje athibitishe๐
๐๐๐ hebu niache basi ๐คฃHuwezi jua mkuu Bongo bahati mbaya ilatakiwa uwe Middle east huko si unaona huwa unatengezeza mikate yao๐๐๐Asili haijifichi๐๐
Dosho ni jina la kidigo, hivi hakuna mdigo humu aje athibitishe๐
๐๐๐คam out๐๐๐ hebu niache basi ๐คฃ