Who is The Best Lady Here?

Who is The Best Lady Here?

Sijaona wa kumfananisha na Kongosho wangu. Kila nisomapo posts zake nakumbuka enzi za ujana wetu. Najikuta nimekuwa rejuvinetedi.
 
Last edited by a moderator:
Wote ni best kulingana na viwanja vyao vya kujinafas
 
Mie sio best lady aisee. I have my craps amd my wise moments. Kila mtu ni best katika jambo fulani.

..Kuna wadada wana ule ukomavu kiakili, hata uandishi wao unaonekana na bila kuuliza unajua Tu huyu kakomaa kifikra, wewe Ni mmoja wao sista!!!
 
Back
Top Bottom