snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,422
- 25,338
Unaogopa kumuambia hii nayo ni useless thread?
hehehehe
Hehe hehehehe we nae umezidi ukauuuzu khaaaaa!
Mwenzio kaaandika sredi ndeeeefu hiv af unamwambia hiiiivyo
Unaogopa kumuambia hii nayo ni useless thread?
hehehehe
hahahahaaaa..wewe mtoto lazma nije chuoni nikufinye sikio, kwa uchokozi Tu hujambo.. KOKUTONA hafananishwi na yeyote...
Hivi mleta mada unajuwaje kama hao wote ni ladies?
Huyu miss neddy labda kama tunamtafuta the best mchunaji.
Mpe hela tu ww mpe tu ukiona anazingua mpe hela zaidi we mpe mpka atakaa sawa
apewe hela
Ladies and Gentlemen!!
Naamini mko poa kabisaa..
Nianze kwa kuwaambia kuwa penye Wengi kuna Mengi. Hapa JF tushakuwa wengi na pana mengi kwelikweli,
Wimbi la threads za ovyo ovyo limeongezeka mara dufu
Na wengi wanoongoza kupost ni Wadada (hapa MMU lakini).
Sijajua kama wote ni wadada au lah! hapo hainihusu sana.
Kwa uwingi huu nimefanya tathmini yangu ya upesi upesi, nikaja na wazo.
among all ladies here who is the best? kwa upande wakupost na kushiriki katika jukwaa na hapa uwingi wa thread si hoja, hoja ni kwa vipi yeye anavyochangia na anavyointerract...
Jamani ukiona kama hii kitu imekuboa ts better ukajump to another one ili usilete shida hapa.
Na kama umeshapost thread ya ajabu ajabu recently sio lazima ushiriki.
Ngoja niiweke teamshindani hapa, sijawasiliana na yeyote juu ya hili ila naamini halitaleta shida wala nini kwasababu hii ni njia pia ya kuinterract kijamii zaidi.
Nitawataja ladies wachache hapa na wanajf tutaamua who is the best lady here...
We utakaetajwa kuwa mpole haya siyo mashindano ya u miss ila ni kuona how many
can support you na kukubalika kwako kukoje.
naanza sasa.
Kongosho
King'asti
Husninyo
Heaven on Earth
miss neddy
masai dada
Evelyn Salt
miss chagga
mwallu
charty
'Valentina'
MankaM
badiebey.
Karucee
Tuanze na hao kwanza.
JF ina wadada wengi na haiwezekani mshiriki wote.
Katika hii jamii ya zaidi ya watu laki mbili, who can be the best lady?
CC: Nyani Ngabu, The Boss, Eiyer , BAK and Asprin kwa taarifa.
Umezungumzia thread za hovyo bila kusema ni kipimo kipi tukitumie ili kujua hizo thread za hovyo
Kwa kutokutoa huo mwongozo nawe unaingia kwenye kundi hilohilo la thread za hovyo
Lakini cha ajabu zaidi umesema kuwa akina dada ndio wanaoongoza kwa kupost hizo thread za hovyo
Huenda ukawa sahihi,lakini hujasema huo u-hovyo ni kitu gani kwako maana tuna tafsiri tofauti za mambo ya hovyo
Mfano,Ukiwa wewe ni mwizi halafu ukakutana na mtu anachukia wizi utamuona wa hovyo na anafanya mambo ya hovyo
Sasa huenda na wewe uko kwenye kundi hili
Kwanini usingetuambia tafsiri ya huo u-hovyo unaouongelea hapa ili tujue unaongelea kitu gani?
Thread yako imepungua sana hivyo nayo ni ya hovyo pia
Ondoa thread yako hapa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Duuh Aisee!?