Mahesabu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2008
- 5,936
- 3,660
IN EAST AFRICA ESPECIALY KENYA,TANZANIA AND UGANDA, KUNA PUBLIC FIGURES AMBAZO NI VYEMA WANANCHI WA NCHI HIZI TATU WAWAFAHAMU......KATI YA WATU HAO JOSEPH KONY WA UGANDA NI VYEMA WOTE KUMFAHAMU.......!yeye ni nani,kabila,umri,jumuiya yake inaitwaje,malengo yake na ya jumuiya yake,sera zake,yeye mwenyewe anajiongelea vipi,watu wengine wa kawaida wanamuongelea vipi,maadui zake wasemaje juu yake na wafuasi wake,watu wa kabila lake wanamuonaje,UN inamuonaje?.....nk....nk......TUCHANGIE MJADALA HUU....AHSANTENI.....!