Who is Heche Suguta?

Who is Heche Suguta?

Point yangu ndio ilikuwa hiyo mkuu na nashukuru at least ulipata uelewa kidogo. Niliyoyaandika kuhusu Bwana SUGUTA hayana ukweli hata kidogo. Lakini nilifanya hivyo ili ku-prove a point. Huyu kijana amekumbwa na mkasa baada ya kugusa "Interest" za wahujumu UCHUMI. Ndio akatengenezewa Hilo zengwe linalomtafuna sasa hivi. Kwa utendaji kazi mimi binafsi namkubali Huyo Kijana. Ila tusubiri uamuzi wa vyombo ya sheria ndio tunaweza kuongea mengi.
Uamuzi wa vyombo vya sheria utaaangalia pia na mali alizonazo kama zinaendana na kipato chake halali....hapo ndipo linapokuja swala la yeye ni nani hasa katika muktadha wa Kutumbuana majipu.

Tunaweza kulialia kuwa katumbuliwa kwa kuwa kagusa maslahi ya wakubwa kumbe la...

Tunaweza kulia kuwa katumbuliwa kwa kuwa ni UKAWA kumbe la....
 
Ndo kusema safisha safisha wanalengwa team ukawa
Hiyo dhana inataka kutumika kulinda uovu...yaani hata siku EL na Mboe wakitumbuliwa mtasema tatizo ni itikadi yao ya UKAWA
 
Huyu Manchare Heche Suguta ni ndugu ni na mbunge wa Tarime vijijini John Heche yaani toka nitoke na kaka yao Chacha Heche ni katibu wa CHADEMA mkoa wa Mara ndio maana wanamhusisha na UKAWA ni kijana aliyejitolea kufanya kazi kwa ueledi lakini wenye vinyongo na husuda wakamuonea kijicho.
 
Acheni kumsingizia MTU vitu vya uongo kama haujui si mkae kimya tuu ndo maana kila kitu nchi ni cha Ridhiwani kuweni wakweli iwaweke huru
 
He is a very good person, hard working and committed.
 
Kama taarifa za kurudi ni kweli...nimefarijika
 
Piga kazi mkuu...sheria ni msumeno!
 
Amerudi tena huyu jamaa ana roho ngumu jinsi anapigwa lakini bado ana moyo kujitoa namna ile ni ajabu kabisa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom