jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,950
- 29,532
Kumekuwepo na habari au taarifa nyingi zinazoambatana na Jina hili hasa hasa unapoongelea bomoa bomoa jijini Dar!
Mimi nilikuwa na nitaendelea kuwa pro-bomoa bomoa hii iliyosimamiwa na huyu bwana na kumchukulia kama mzalendo aliyepewa fursa ya kusimamia sheria..
Kwa bahati mbaya ama nzuri ni hivi majuzi tu huyu bwana pamoja na wengine wamesimamishwa kazi kwa utendaji mbovu na mheshimiwa Makamba.
Sasa tujiulize huyu bwana ni nani?
Ana elimu ipi?
Ana mali gani?
Kwa nini Makamba amemtosa despite utendaji aliouonesha hivi majuzi?
Je Makamba kamuonea au kamtumbua jipu kwa haki kabisa?