Who is Christina Shusho historically?

Hajaolewa, hana mtoto na anafanya biashara. Anachukua bidhaa zake ulaya na dubai. Ameokoka

Tunaomba source ya hii info???

Dada wa watu anaimba hadi na mme wake kwenye videos zake...halafu wewe unasema hajaolewa... LOL
 
i looooooooooooooooooooooooooooooooooove her!.n her songs.ananibariki
 
Hajaolewa, hana mtoto na anafanya biashara. Anachukua bidhaa zake ulaya na dubai. Ameokoka

ni msukuma kwake ni shinyanga,,,,ameolewa na ana watoto wawili,,,search for strictly gospel waliwahi kumuhoji na hata mume wake alikuwa akijibu post za watu,,blessings
 
Christine Shusho ni kweli ana asili ya DRC, na ndugu zake baadhi wapo kambi ya wakimbizi nyarugusu, kigoma. She is pretty kwa kweli. Nyimbo zake zina upako na zina bariki sana. Tena ni designer mzuri sana, Kuwa Mkongolee sio lazima upake mkorogo, inategemea umetokea fasi ya wapi?
 
Jamani huyu dada kweli Mungu am-bariki sana, naupenda sana wimbo wa albam yake ya tatu, Mungu akiwa upande wetu, ni wimbo mzuri sana huchoki kuusikiliza.
 
Akili Kichwani

Asante mkuu! Huu wimbo mimi ukifika ubeti wa nne, huwa nahisi km kulia vile.... unanikuna mpaka ndani! Pia wimbo wake wa Unikumbuke! We acha tu, mwacheni Mungu aitwe Mungu.
 
Kweli hata mimi huwa nikisikiliza nyimbo zake utajisikia amani, faraja na tumaini zaidi ndani ya moyo. Shusho amebarikiwa sana na sio siri anakipaji cha pekee sana. Mungu akubariki sana.
 
Asante mkuu! Huu wimbo mimi ukifika ubeti wa nne,huwa nahisi km kulia vile.... unanikuna mpaka ndani! Pia wimbo wake wa Unikumbuke! we acha tu, mwacheni Mungu aitwe Mungu.

Aliharibu pale alipoweka Sauti ya Speaker wa bunge katikati ya wimbo uwii.....
 
Sisemi haya kwasababu eti me ni mpenda ngono, huyu dada ni miongoni mwa kinadada ninaowapenda kutoka moyoni!
 
Ni mtumishi wa Mungu wa ukweli. Ana mume na watoto 3, wawili wa kike na mmoja wa kiume. Mume wake anafanya TRA na ni mchungaji msaidizi wa kanisa moja la Kilokole. Mume wake ametokea Kigoma. Hivyo yeye ni mama Mchungaji. Inasemekana yeye ni Mnyamwezi wa kuhamia lakini asili yake ni Congo (Ingawa hapa sina uhakika sana)!

Ni mtumishi ambaye ameinuliwa na Mungu mwenyewe! Pia anajua kukaa magotini pa Bwana na ndiyo siri ya kukubalika kwake. Inasemekana yeye kama yeye alianzia chini sana! Alikuwa na duka la nguo, workshop ya kushona nguo & designing Kariakoo ambayo ameifunga mwishoni mwa mwaka jana.

Ni kweli alikuwa anaenda kufunga mzigo Dubai n.k. Kwa sasa sijui kahamishia biashara hiyo wapi! Pamoja na mume wake, wana studio ya kurekodi miziki ya Injili Kigoma. Kwa anayetaka habari zaidi ani PM lakini nadhani zinatosha!
 
Kiukweli Christina ni muimbaji mzuri sana, anafahamu anachokifanya na Mungu anaonekana kupitia kazi zake.
 
She is beautiful kwa kweli... Mungu kambariki kama nyimbo zakee... Ahimidiwe Bwana.
 
Naomba Mungu na mme wake Christina wanisamehe.......... hata Sir God anajua nilishamtamani sana kwenye video loH!!. Kuna wimbo wake unaitwa Songa Mbele.Yaani huu wimbo ukipigwa na nikianza kuusikiliza naandika proposal si chini ya nne kwa siku moja nausikiliza wenyewe aghhh basi tu . Mungu ambariki, amzidishie, amwinue, atuombeee na sisi wanywa Viroba na Rubisi na Dompo na Valeur na Regency tuokokeeeee.
 
Back
Top Bottom