Who is Christina Shusho historically?

Hongera dada kwa nyimbo nzuri. I care less whether you are from DRC or Jamaica! Mungu awe nawe. Jichunge waulimwengu si watu wema. Usishangae hivyo ulivyo..na sura yake ya kibanyamulenge (ambayo ni common huko kwenye mikoa inayopakana na hizo nchi.....utashikiwa bango kwamba wewe si mtanzania! I know human beings..wakitafuta sababu ya kukuandama hawaikosi.

ubarikiwe dada na kazi zako.
 
Mungu akubariki Christina Shusho, Nyimbo zako ni "antidepressants" nzuri sana.
 
Mkuu, it is not easy to get her history from anyone kwa sababu hana skandali yoyote. Ikiwa huna nia mbaya piga hodi kanisa la TAG Ilala, watakuambia how to meet her kisha mwaweza kuongea.

Thanks for this thread anyway, I didn't know she was from DRC. I thought she is nyakyusa.
Kumbe HISTORY = SCANDALS??
 
...........Kati ya waimbaji wa gospel music wanaonibariki huyu dada ni mmojawapo.
 
Nadhani huyu dada anapata tatizo la mvuto wake kupofusha ujumbe wake katika inili japo naamini ana nia njema. Kama una tatizo la tamaa bora uishie kusikiliza na udio tu usiangaike na video.
 
Unaposikiliza album yake huwezi kuruka wimbo hata mmoja, anapendeza sana kwenye picha. Mungu na ambariki azidi kumtukiza asijiingize kwenye kuwatukuza wanasiasa
 
jamani mtumishi ananibarikige sana na nyimbo zake mungu ambariki sana nilipenda sana kujua historia yake lakini inaonyesha akuna mwenye password yake hapa
 
tena huyu hapa wameweka video yake humu ku basi nikitokea mkoa. Wimbo hewani ni baba utukumbuke. Halafu nasikia ana mabinti wawili matata sana kwa uzuri
 
wana JF mtoa thread ameulizia tu historia yake I suppose for good, huenda ameridhishwa na huduma za mdada huyu ktk kumtukuza Mungu kupitia nyimbo zake ukilinganisha na wengine (wadada). Hata mi namkubali na naridhia kujua historia yake. Unayesema ana asili ya Congo can you please go a bit far into details kama wafahamu zaidi. Tafadhali
 
Hajaolewa, hana mtoto na anafanya biashara. Anachukua bidhaa zake ulaya na dubai. Ameokoka
 
aleluya
perfection of Almighty Jehovah
keep her safe o Jehovah
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom