nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,369
Christine Shusho ni kweli ana asili ya DRC, na ndugu zake baadhi wapo kambi ya wakimbizi nyarugusu, kigoma. She is pretty kwa kweli. Nyimbo zake zina upako na zina bariki sana. Tena ni designer mzuri sana, Kuwa Mkongolee sio lazima upake mkorogo, inategemea umetokea fasi ya wapi?
Aendelee kumtukuza Mungu. Akiingia kwenye siasa Watam -Hussein. Ndo tutajua kweli kama ni Mtanzania au Mkongoman.