Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,401
- 20,661
BENSON BANA
View attachment 14975
ukisoma hapo juu inaonekana jamaa kamaliza PhD from University of Birmingham, but Cv inaonesha Kaipatia University of Manchestor. Which is which?
Dege Consult Decentralisation, Public Sector Reforms and Good Governance
hakufaulu darasa la saba?
ni personal friend wa kikwete na ndiye mshauri wake mkubwa wa kisiasa
utafiti ule umefanywa kwa watu 2500 tu kwa hiyo siyo sample nzuri bana hajui statistics, na data compilation inabidi akasome jinsi ya kuandaa mean{harmonic,weighted,geometric na average mean} then ndio arudi na REDET yake
Kwa nje namuona kama kinara mpya wa wahadhiri vibaraka Tanzania...
Anayetafuta vyeo kwa kuidhalilisha taaluma yake...
Anayewatii mabwana zake kwa kudhalilisha tasnia nzima ya utafiti Tanzania...
Msomi bandia, anayedhililisha demokrasia Tanzania...
Kwa wale wanaomfahamu zaidi tabia na Historia yake, naomba wamuelezee "Dk." Benson Bana...
Moja ya uzuri wa utafiti wa kisayansi Vs wa kishabiki ni kuwa unaweza kuvalidate kwa kutimia njia walizotumia kwa muda wako mwenyewe...
Kwanini badala ya kuendelea kupiga kelele na kudai kuwa utafiti huu ni wa uongo, hamchukui hatua za kufanya utafiti wenu pia kwa kufuata sampling methods kaka za REDET na kuwaumbua??
Nina uhakika mnaweza kupata what you believe a neutral institution ikafanya utafiti kama huu wiki chache zijazo if you are realy interested with the "reality" from the ground???
Ama sivyo endeleeni kushabikia utafiti wa Majira, tanzania daima, Jamiiforum na picha za umati wa kampeni, zitawasaidia kuboresha mikakati yenu na kupata ushindi October 30th..........