'Who created God' is an Illogical Question!

Yani wao ukiwauliza maswali wanakwambia hata wakishindwa kujibu haifanyi kuwa mungu yupo,hayo ndiyo majibu yao endapo utawauliza maswali.

Hakuna jambo rahisi kama kupinga tu.
 
....Na kinachosababisha wewe uote ndoto usiku ni nini? Hiyari? au Hotokea tu?
 
The question, in context, is a non sequitur. Immaterial and inconsequential.

Tatizo aliyeuliza hajui non sequitur ni nini wala hana utashi wa kujua.
Jibu kwanza swali langu mie ntakujibu pia kumbuka ni mimi nilieanza kuuliza.
Swali linajibiwa kwanza Kisha unauliza lako.
 
Kwahiyo kutokujua kwake inathibitisha kuwa hakuna mungu?
Contradiction katika dhana ya kuwapo Mungu inathibitisha kwamba Mungu hayupo.

Kama inavyothibitisha hakuna solution for x below

 
Jibu kwanza swali langu mie ntakujibu pia kumbuka ni mimi nilieanza kuuliza.
Swali linajibiwa kwanza Kisha unauliza lako.
Swali lako halina uhusiano wowote na uthibitisho wa kuwapo Mungu.

Ni kama tunabishana kama Mlima Kilimanjaro upo au haupo halafu unaniuliza kama naweza kuthibitisha kwamba mimi nipo.

Kama naweza kuthibitisha kwamba nipo au sipo hilo halithibitishi lolote kuhusu Mlima Kilimanjaro kwamba upo au haupo.

Swali hili hata nikishindwa kulijibu halithibitishi au kukanusha kwamba Mlima Kilimanjaro upo.

Mimi hata nikishindwa kuthibitisha kwamba nipo, hilo halithibitishi kwamba Mungu yupo.

Thibitisha Mungu yupo.

Anza kwa kuondoa contradictions alizo nazo huyo Mungu, kama unazielewa at all.
 
I was trying to teach you to look on the other side of your logic.

People believe what they want to believe, not necessarily what is true.

You believe what you want to believe, not what you SHOULD believe.
 
I was trying to teach you to look on the other side of your logic.

People believe what they want to believe, not necessarily what is true.

You believe what you want to believe, not what you SHOULD believe.
You are trying to reverse the irreversible.

Like trying to read the Roman alphabet left to right.

Of course you do not make sense.

I do not want to believe. I want to know.
 
Kwanini usijibu kwanza hilo swali, unajuaje kuwa hilo swali halina uhusiano wowote na uthibitisho wa uwepo wa Mungu?
 
Nani kakuambia kujua hesabu na logic ndo kujua ku reason kuwa Mungu hayupo?

There are extremely intelligent scientists who believe that God does not exist.

There are extremely intelligent scientists who believe that God DOES EXIST.

Do you think you are intelligent than them? If that was true, you could have done something tangible and useful to our country. So, it comes from the logic that, you are not extremely intelligent than them (possibly not reaching even 30% of their reasoning)

So, its not TRUE that math and logic necessarily assist in disproving God.

[HASHTAG]#Most[/HASHTAG] times people believe what they want to believe#
 
Bila logic huwezi kuwa na Mungu.

Huwezi kuwa na haja ya kuwa na Mungu.

Usi judge idea kwa sababu ya aliyeisema au kuikubali. Ichambue mwenyewe.

To be human is to be intelligent, the rest is hard work and chance.

Moreover, ukisema kwamba kuna extremely intelligent scientists who believe God exists na kuna extremely intelligent scientists who believe God does not exists, that pretty much cancels itself out and is not even worth mentioning, why even mention it?
 
..sasa mtu anaprove vipi kitu ambacho hakipo,that means it cannot be fathomed by any of the 5 senses,wewe unaesema kipo ndo tulitaraJia uProve
Kutoweza ku be fathomed by any of the 5 senses hakumaanishi kuwa kitu hakipo.

Can you prove that you are intelligent? can you prove that someone is thinking bad thing right now? Utatumia ipi kati ya hizo 5 senses?
 
Kutoweza ku be fathomed by any of the 5 senses hakumaanishi kuwa kitu hakipo.

Can you prove that you are intelligent? can you prove that someone is thinking bad thing right now? Utatumia ipi kati ya hizo 5 senses?
..hizo ni emotions ndugu Yangu,ur not even sure ur Intelligent maana Hili ni neno tu limechaguliwa kuelezea hii hisia kama ambavyo sad lingeweza kutumika kuelezea furaha
 
..thibitisha Mkuu,prove NOTHING exists!!!
When you say NOTHING, you have already concluded that its nothing. So, you can not prove something that you have already concluded that it is nothing.

We know that God is not NOTHING, but a Super - being.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…