'Who created God' is an Illogical Question!

Sasa mbona hao wenye uelewa duni zaidi na maskini zaidi ndio wengi God believers??
Sio kweli,wako matajiri wakubwa na wasomi wakubwa,wanaamini uwepo wa Mungu.
Ndio maana nasema na naendelea kusema,msioamini Mingu,uewelewa wengi ni mdogo sana.Hata hamfahamu kama idadi ya wanaoaminini Mungu,ni kubwa kuliko msioamini Mungu.
 
Mungu anaishi wapi?

Ushawahi kumwona?

Ushawahi kuisikia sauti yake?

Ilikuwa kuwaje yeye akawa ndo mungu?
Nilimuuliza Kiranga ni jambo gani ambalo katika dini/imani unatakiwa kuamini tu na hutakiwi kuuliza? akanijibu kuwa jambo lolote hutakiwi kuuliza,ndipo nilipomwambia kama ingekuwa hivyo basi isingewezekana kumshawishi mtu kutoka imani moja kwenda imani nyengine kwa kutoulizwa swali lolote.

Hayo maelezo hayakuwa na maana ya kutaka kuulizwa swali la aina yeyote kama ambavyo ulivyofanya wewe. Inajulikana kuwa mungu haonekani sasa unaponiuliza kama nishawahi kumuona mungu unakuwa una maana gani.
 

Inajulikana na nani kuwa mungu haonekani?

Na inajulikanaje kuwa haonekani?
 
Hatukuwa tukijadili swala la watu kufanya kinyume na imani zao,tulikuwa tukijadili watu kutotakiwa kuuliza jambo kuhusu imani zao.
 
Ok mimi naweza kusema kwamba baadhi ya wanyama hula wanyama wengine ili kubalance ecosystem.

Haya niambie: Ikiwa Mungu alitumia udongo kumuumba Mtu, je Mungu alitumia material yapi kuumba wanyama wengine?
Unalikumbuka vizuri swali nililokuuliza?
 
Inajulikana na nani kuwa mungu haonekani?

Na inajulikanaje kuwa haonekani?
Imani zipo nyingi sana na kila aina. Na miungu ipo mingi kuna hadi ng'ombe,kwahiyo naweza kukwambia kuwa mungu haonekani kutokana na imani yangu ilivyo lakini wenye kuamini mungu ng'ombe kwao huonekana.

Kwahiyo kwa imani yangu ya mungu ninaye muamini ndiyo haonekani.
 
Siyo kila usemacho ni reality! wala siyo kila usemacho kitakuwa! Kama umeshindwa kujibu hoja we tembea tu....kuandika sentences mbili makosa kibao hadi ujumbe unakosa logic, ndio maana sikushangai unavyong'ang'ania imani isiyokuwa na logic.
Heheee. Umeshindwa kuthibitisha uwepo wa Truth Table yako kutwa kucha unapuyanga kuwahoji wengine uthibitisho wa uwepo wa Mungu. Are you dumb in any other area?
 
Heheee. Umeshindwa kuthibitisha uwepo wa Truth Table yako kutwa kucha unapuyanga kuwahoji wengine uthibitisho wa uwepo wa Mungu. Are you dumb in any other area?
Hapa ninataka ushahidi juu ya uwepo wa Mungu(ambao umeshindwa kuuleta mezani).....Je unaweza kuthibitisha uwepo wa Mungu?
 
Hapa ninataka ushahidi juu ya uwepo wa Mungu(ambao umeshindwa kuuleta mezani).....Je unaweza kuthibitisha uwepo wa Mungu?
I don't have a burden to prove anything to you. It's you who comes and say hey your God does not exist. Foolish enough you demand an evidence.

Don't be dumb on purpose. You said God doesn't exist. So prove it. With this or other ID, it doesn't make the difference. Just show us a single proof that God doesn't exist.

And don't use logic and truth table which fails your criterion of existence.
 
Naona umekuwa stimulated hapo na hicho kicheko.



Bila shaka wakati unaandika hapo zilikuwa zimesisimka😀.

Unapenda sana kusisimuliwa wewe naona.



Oh kumbe eeh...haya hebu twambie nawe sehemu zako zilizo nyegereshi😀.
We nawe ni tabu tupu, tangu ufe na kufufuka akili zako hazina mweeleke😵na jinsi ulivyokosa brain compartmentalization....Hivi hujui kuwa tupo hapa kumtafuta Mungu?
 
Why are you thinking so moronically?
Am I the one who started the thread titled ''Hey your God does not exist''?....If yes show it.

Who are supposed to prove/disprove the existence of God between Theist and Atheist?

I think your God is a product of your false assumption just the same way you are assuming I am possessing multiple IDs(something which is not true).
 
Atheists are a laughing stock!

If He doesnt exist - what/who does? It is foolishy to argue with some one who doesnt even have a locus of stand!!

Evolution is based on assumptions and realities! There is no facts and then you demand ' evidençe' to prove God's existence. Look at this stupid assumption- we came from monkeys*** thats's waooh - why are monkeys still monkeys? I thought They evolved.

EVEN BIGBANG is another faggot assumption!! What/ Who is the triger behind it!! You wont get any Fact jus assumptions again!!

Can u explain?
 
Hii ni sawa na kusema Mungu yupo au hayupo. Sababu there is no ipso facto to prove for or otherwise. Kuendelea kuwaza na kuwazua juu ya hili hakusaidii. Kinachosikitisha ni watu wanaojifanya wajanja kutiisha watu na kuwafanya wawe waoga na kw kuafanya hivyo kuweza kuwaibia na kujitajirisha '' Wajinga ndiyo waliwao.
 
We are debating about the existence of God and not about evolution.So stop airing your dirty laundry by jumping from one topic to another.
 
Mungu yupo,ndiye aliyeumba,wanasayansi na vinavyofanyiwa hiyo sayansi.
Ingekuwa wanasayansi wapo,lakini hakuna jua,mwezi,sayari nk.hiyo sayansi wangeifanya wapi na kutumia nini?.
 
Wadau.Achaneni na hii thread ya kijinga.Inawapotezea bure muda wenu.Hamtajifunza lolote jipya la maana kutoka uzi huu.

Mleta uzi anapenda tu ubishi wa kilevi.Hana lolote jipya.Tumieni nguvu na busara zenu kuchangia nyuzi zingine za maana.Mkubaliane tu mleta mada kuwa Mungu hayupo muendelee na shughuli zenu zingine za maana.

"If you argue with a fool people may fail to notice the difference".
 
Swali gumu. Kuna wakati nilikurupuka usiku nikajiona kama nataka kurukwa na akili baada ya kuwa nawaza sana Kuwa Mungu alianzaje kuwepo na kama asingekuwepo kungekuwa na nini!?
 
wacha uongo wako.ulikutana lini na mungu akakusimulia hayo? if you are sure god exists who is such powerful, why does evil exist?
 
Who are supposed to prove/disprove the existence of God between Theist and Atheist?

I think your God is a product of your false assumption just the same way you are assuming I am possessing multiple IDs(something which is not true).
You are so childish. You cant even think clearly. You attack the Creator that made you and gave you life (see the bold) and two steps later you want me to prove His existence. Well you brought a case that God does not exist and you have another accusation that Creator God is product of my false assumption. Should I prove that one is not the case?

You are such a fool to put an accusation and expect the accused to prove anything. The burden of the proof is for accuser to prove the accusation. So you either prove your accusations or you shut up.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…