'Who created God' is an Illogical Question!

roman1:19-20
Mungu amejifunua kwenye akili ya kilA kiumbe .hakuna excuse . usiku mwema Mungu awalinde .
Sasa kama amejifunua kwa kila kiumbe mbona kuna maswali ya contradiction hamuwezi kuyajibu?
 
soma bibilia kwa acha kusomewa na kuambiwa nini na wapi pa kusoma. bibilia iko sahihi. nimekwambia explore bible sio ukaongozwe na werevu wachache nini cha kufanya. hivyo ni vidogovidogo vyenye msjibu humohumo. soma bibilia acha uvivu
Unajuaje sijasoma Biblia?

Uvivu unao wewe ambaye umeulizwa maswali, umewekewa contradictions, huzijibu una sema "soma Biblia".

Kwa nini nisikuite wewe mvivu kama hata kitabu chako huwezi kukitetea?
 
Sio akiwa na mkewe.

Ni akiwa na mumewe
 
Tatizo lako huwezi kufuatilia argument.

Katika imani kuna imani potofu na imani sahihi.

Nikisema kwamba nakuja nyumbani kwako, naamini upo nyumbani, nikafika nikakukuta hupo, imani yangu kwamba ulikuwapo nyumbani, kwa wakati ule ilipokuwa imani, ilikuwa ni imani potofu.

Nikisema kwamba nakuja nyumbani kwako, naamini upo nyumbani, nikafika nyumbani nikakukuta upo nyumbani unanikaribisha, imani yangu kwamba ulikuwapo nyumbani, kwa wakati ule ambao ilikuwa imani, ilikuwa imani sahihi.

Kufika kwako na kufahamu kwamba upo au haupo kutathibitisha imani yangu kama ilikuwa sahihi au potofu.

Nikifika na kuthibitisha kama upo nyumbani, natoka kwenye imani, naingia kwenye ujuzi, kwa sababu nimethibitisha.

Imani kabla ya uthibitisho haijahakikiwa, ni kama kubashiri tu bila uhakika. Kubashiri bila uhakika kunaweza kuwa sawa au kusiwe sawa hata kama habari haina mushkeli kama wa contradiction.

Habari ikiwa na mushkeli wa contradiction, mushkeli unaonesha kuna kitu hakipo sawa, kuna uongo hapo.

Sasa kwa nini nikubali imani, ama imani iliyo na mushkeli wa contradiction ama iliyo na mushkeli wa contradiction wakati kuna njia ya kufanya ili kuthibitisha imani hiyo?

Kwa nini niseme tu "nje mvua inanyesha" kwa imani nikiwa ndani ya nyumba isiyo na mawasiliano yoyote na nje wakati naweza kufungua mlango nikaangalia kama nje mvua inanyesha?

Kwa nini nikubali kuishia kwenye imani wakati naweza kuchunguza na kuthibitisha?
 
Inawezekana kwa sababu hata hao wanaosema wanaamini kiukweli hawaamini.

Ndiyo maana hata wanaweza kutenda dhambi na kufanya kinyume cha maagizo ya dini zao huku wanajua wanafanya hivyo.
Nieleze kwa vp inawezekana ukamshawishi mtu wa imani moja kuamia imani nyengine katika hali ya kutouliza swali lolote.
 
Nieleze kwa vp inawezekana ukamshawishi mtu wa imani moja kuamia imani nyengine katika hali ya kutouliza swali lolote.
Mungu anaishi wapi?

Ushawahi kumwona?

Ushawahi kuisikia sauti yake?

Ilikuwa kuwaje yeye akawa ndo mungu?
 
Nieleze kwa vp inawezekana ukamshawishi mtu wa imani moja kuamia imani nyengine katika hali ya kutouliza swali lolote.
Kwa sababu wote wenye imani hawana imani kamili, ndiyo maana wanaweza sio tu kuuliza maswali na kuhamia dini nyingine, bali hata pale wasipouliza maswali na kuhamia dini nyingine, wanaweza kufanya kinyume na maagizo ya imani zao huku wakijua wazi kwamba wanafanya kinyume na maagizo ya imani zao.
 
Nadhani umeona ilivo rahisi kuzusha vitu beyond our capabilities
Mkuu unataja sana bible ipo quran pia, ipo gita nk. Kwa tathmin ya haraka ndio maana kuna kuchanganyana, mara mungu wa utatu, Mungu mmoja sijui na mambo kibao.
Ndio maana nika kwambia kuwa claims hizi ni ngum sana kwa kuwa
Ni watu walianzisha imani zao ambazo wewe leo unazifollow na hakuna evidence whatsoever kuwa hawa watu walifanya vitu kwa kuongea na Mungu. Mkusanyiko wa vitabu 72 hauwezi kosa ka reality hata kadogo hivo na acknowldge kuna vitu huwa ni real utapata ushahidi ila huwezi pata ushahidi kuwa Mungu ana exist. Fuatilia sana dini ilikuwa inatumiwa na watawala kaitka kuwaongoza watu na kuweka harmony kias fulan. Ndio unaona kina daudi, musa , suleiman, mohamad etc. Na recently hata wakoloni wameitumia.
Hata na mimi claim yangu niki iandikia ikapata washabiki , miaka 4000 ijayo itakuwa almost real kwani itakuwa mioyoni mwa watu na itakuwa imepitia document nyingi na watu wana fundishwa vizaz kwa vizaz na ndio kilicho tokea kwenye hizi mambo za uwepo wa Mungu.
Ahsante
 
Unaeleza vizur..nahis nahitaji muda kujifunza vingi kutoka kwako.
 
leta researched data sio stori za uswahilini
Historia inaonyesha primitive thinking ndio source ya uwepo wa vitu visivyokuwa na proof. Primitive thinkers they dont need research to blv... wanahitaji vitisho tu... mtaenda kuchomwa etc.
 
Hey bitch boy...actually those little inverted nipples of yours are not useless.

Just ask your stupid retarded boyfriend to suck on them and see what happens....

Hey You Vixen! with me again?...Is your annual oestrus around the corner?
For how long have you been a punk able to use your dead nipples to please your man?

BTW, this is Jamii Intelligence where we debate on serious matters.Let us not to spoil it with your punkish behaviour....we are having plenty of forums to do so but not in here.
 
Hahahaaa kwamba chuchu ni kwaajili ya stimulant?....siyo kwa wote, kila mtu ana erogenous zones zenye kutofautiana.
 
Ok mimi naweza kusema kwamba baadhi ya wanyama hula wanyama wengine ili kubalance ecosystem.

Haya niambie: Ikiwa Mungu alitumia udongo kumuumba Mtu, je Mungu alitumia material yapi kuumba wanyama wengine?
 
Who told you Mungu amejificha?

Just because you cant see Him doesn't mean he's not there

We don't see your memory and intelligence
But we know it's there right (if it's actually there that is)
God is on vacation - Bruce almighty
 

Naona umekuwa stimulated hapo na hicho kicheko.

kwamba chuchu ni kwaajili ya stimulant?

Bila shaka wakati unaandika hapo zilikuwa zimesisimka😀.

Unapenda sana kusisimuliwa wewe naona.

....siyo kwa wote, kila mtu ana erogenous zones zenye kutofautiana.

Oh kumbe eeh...haya hebu twambie nawe sehemu zako zilizo nyegereshi😀.
 
Nafkr swali zuri mkuu ni kujiuliza..

If God is not there, then what is the source of life?

Bahati mbaya atheists wa humu jf mnaatempt ku disqualify uwepo wa Mungu kwa kutumia Vitu mnaita sufferings etc ambazo ni kazi za mikono za huyu Mungu.

Mnashindwa kutueleza 'kinagaubaga' kuwa kama Mungu hayupo then what is the source of life in details? Wengne wanaishia kurukaruka na swali hili mara lile... Give us your locus of stand ili mjadala uwe mpana.

Kuna Vitu mnaviita contradictions in Bible and Quran akati mwasema hivi vitabu ni story books tu na zilikuwa forged ili kumeet ts za kundi fulani....kama ndio hivo kwann mwazitumia kuprove non existence ya Mungu?

I support evolution and science lkn havijakamilika!! Kuikataa assumption ya Mungu na kukubali assumption ya BIG SPLAT (BIG BANG.) Inaleta shda kidogo katika kufikiri. Evelution pia imijaa assumptions nying kuliko facts lkn mfano human beings evolved from monkeys!! Hio ni kichekesho, think why are monkeys still monkeys today?

Asante! Wakati ukiulza maswali mm pia ntasubr majibu ya maswali nilouluza knowing atheust have free thinking hence they are ready to absorb new objectives!
 
Unachotaka mie nikifanye ni sawa na wewe ambae unaamini kuwa jua litatoka kesho halafu ukawa unasubiri hiyo kesho,lakini atokee mtu na kukwambia umthibitishie imani yako ya kutoka kwa jua kesho.
Na ukiweza kufanya hivyo maana yake suala la kutoka kwa jua kesho halitakuwa tena imani.
Je,utaweza kufanya hivyo?

Maana kwako wewe hivyo ndiyo kuthibitisha jambo la imani unavyoelewa,na ndiyo maana sie kila tukitoa uthibitisho huwa unasema hatuwezi kuthibitisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…