'Who created God' is an Illogical Question!

Toka kwenye vitabu vya dini iandikwe,kama Mungu ndie Muumbaji wa dunia na vilivyomo,hakuna aliyejitokeza akakanusha kuwa sio Mungu aliyeumba ni Fulani
Wacha hiyo mashine ya kusaga chakula ni kubwa wameshindwa kutengeneza.Figo ni ndogo,lakini ikishindwa kufanyakazi zote mbili,lazima upate figo ya mtu,hakuna figo yakutengeneza.
 
Jambo gani ambalo dini linasema uamini bila kuuliza?
Jambo lolote la imani ya kidini unatakiwa kuamini

Ukiuliza umepungukiwa imani. Huwezi kuwa na imani kamili halafu hapo hapo ukauliza. That is a contradiction.
 
Mahusiano ya nilichokiuliza na ambacho unataka tujadili ni kipi? maana kama hakina uhusiano utakuwa unanitoa nje ya mada.
 
Naona inakuwa vigumu kwako kuunganisha maelezo mengi:

SWALI:Ikiwa Mungu alimuumba mwanadamu kwa kudumia udongo, je Mungu aliumba wanyama wengine kwa kutumia material yapi?
 
If I was created by God, why did he gave me vestigial body parts?

Why am I having useless nipples?
pumzika ulale naona umeanza kujisogeza na viconcept vyako vya evolution.
mbona hujauliza kwa nini una xy chomosome badala ya YY. yawezekana umewekewa kama kiungo chenye nerve ending kiwe stimulant ukiwa na mkeo.
unauliza maswali ya chekechea. najua utauliza tena kwa nini makalio hayapo kichwani?
 
Sasa mbona hao wenye uelewa duni zaidi na maskini zaidi ndio wengi God believers??
 
Jambo lolote la imani ya kidini unatakiwa kuamini

Ukiuliza umepungukiwa imani. Huwezi kuwa na imani kamili halafu hapo hapo ukauliza. That is a contradiction.
Kama ni hivyo kusingewezekana kumshawishi mtu wa dini moja kuhamia dini nyengine.
 
Nikikwambia kuwa una tatizo la suala la imani huwa unakataa ila tatizo kweli lipo na ndiyo maana hatuelewani hapa.

Wewe hauamini kuwa mungu yupo,sasa unataka nithibitishe mungu yupo ili ndiyo uamini au vp?
Thibitisha ili nijue.

Kuamini hakuhitaji uthibitisho.
 
Naona inakuwa vigumu kwako kuunganisha maelezo mengi:

SWALI:Ikiwa Mungu alimuumba mwanadamu kwa kudumia udongo, je Mungu aliumba wanyama wengine kwa kutumia material yapi?
Kumbuka nimeuliza swali na wewe umeniuliza na unataka nikujibu,sasa nimeuliza kwamba hilo swali lako linahusiana vp na nilichouliza mie? maana kama halihusiani inakuwa ni sawa na mie niulize Rais wa Tz ni nani halafu uniulize ccm ina wabunge wangapi? unafikiri kuna mahusiano gani kati ya rais wa Tz na idadi ya wabunge wa ccm?
 
Kama ni hivyo kusingewezekana kumshawishi mtu wa dini moja kuhamia dini nyengine.
Inawezekana kwa sababu hata hao wanaosema wanaamini kiukweli hawaamini.

Ndiyo maana hata wanaweza kutenda dhambi na kufanya kinyume cha maagizo ya dini zao huku wanajua wanafanya hivyo.
 
soma bibilia kwa acha kusomewa na kuambiwa nini na wapi pa kusoma. bibilia iko sahihi. nimekwambia explore bible sio ukaongozwe na werevu wachache nini cha kufanya. hivyo ni vidogovidogo vyenye msjibu humohumo. soma bibilia acha uvivu
 
Nashkuru saana..naomba unipe sababu ya wewe kuwepo duniani.
 
Thibitisha ili nijue.

Kuamini hakuhitaji uthibitisho.
Hapo ndipo tatizo lako kutokukubali imani linapojionesha.Ikiwa unajua suala la mungu ni la imani,sasa wewe unayetaka uthibitisho na unasema kuamini hakuhitaji uthibitisho unakuwa na maana gani? ndiyo maana nasema wewe hukubaliani na imani ila unakataa.
 
Usiwe confused, Take time to read and explore things. Haya mambo sio siasa na sisi sio wa kwanza kujadili.
Read read read
U tell me where shold i read to know that God spoke to Job. And tell me how you knew he or she spoke to him
Thts why i told you you are being deceived yet unabisha
 
Nashkuru saana..naomba unipe sababu ya wewe kuwepo duniani.
Unajuaje kwamba najua sababu ya mimi kuwepo duniani?

Au una assume tu kwamba najua sababu ya mimi kuwapo duniani?

I will tell you what, sababu yoyote ya mimi kuwapo duniani haiwezi kuhusiana vyovyote na Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.

Kwa sababu, mimi nakutana na mabaya hapa duniani, na Mungu huyo kuumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana ni contradiction, hilo moja.

Pili, Mungu huyu anatakiwa kuwa ni utimilifu wa utakatifu.The epitome of holiness and perfection.

Katika hesabu na fizikia, utimilifu wa perfection ni nothingness. By nothingness I mean not having anything anywhere, not even having "where", not having space, not having time. Huo ndio utimilifu wa perfection.

Ukianza kuondoka kidogo tu kwenye hiyo nothingness, unaharibu utimilifu wa perfection.

Dunia na vyote unavyovijua viko hapo kwa sababu ulimwengu umekosa utimilifu wa perfection. Mungu angekuwepo, kungekuwa na utimilifu wa perfection (kwa sababu Mungu yupo) utimilifu huo wa perfection ungekuwa nothingness.

The fact that tunaona kuna ulimwengu ambao una something na hatuna nothing ni kwa sababu ulimwengu umekosa perfrction, hakuna Mungu.

Kwa hiyo nikirudi kwenye swali lako, kwa minajili ya maelezo yangu ya hapo juu, sababu ya mimi kuwapo duniani ni kwa sababu Mungu hayupo.

Mungu (utimilifu wa perfection) angekuwepo/ ungekuwepo, kusingekuwa na chochote popote, kusingekuwa hata na popote kwa maana ya kwamba kusingekuwa hata na space.

Kwa sababu tunaona kuna kitu, hilo linamaanisha utimilifu huu wa perfection/ Mungu ni vitu vya kufikirika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…