Ukisema hivyo unamaanisha miaka 1000 iliyopita kulikuwa hakuna tetemeko maana hakukuwa na matumizi ya silaha Kali..Uwezo wa ufahamu wa binadamu una kikomo chake,ukifika wakati wa kufikia ugunduzi huo,watakuja kukuambia ,vinasababishwa na binadamu.Ikiwa ukame unasababishwa na kukata miti ovyo ,kwa nini matetemeko na vimbunga visisababishwe na binadamu anayetumia silaha Kali za maangamizi.Pembe zote za dunia kuna vita,kwa nini isiwe hizi silaha kali ndio zinazosababisha majanga.
Kuna mahusiano gani kati ya ukamilifu na upendo? Hujajibu hili swali ambalo ndiyo nililokuuliza.Mbona nimekujibu?....ili Mungu awe mkamilifu lazima awe na upendo.
Upendo ni kiungo cha ukamilifu.Kuna mahusiano gani kati ya ukamilifu na upendo? Hujajibu hili swali ambalo ndiyo nililokuuliza.
Ki vp ? Hebe fafanua na utoe mifano hai.Upendo ni kiungo cha ukamilifu.
Jifunze kuandika kwa ufasaha kwanza ndipo uulize swali.Ki vp ? Hebe fafanua na utoe mifano hai.
Haina tabu nitajifunza tu mkuu.Jifunze kuandika kwa ufasaha kwanza ndipo uulize swali.
Mimi nimesema Mungu mwenye upendo wote, uweza wote na ujuzi wote hayupo.Kama Mungu hana moja ya sifa hizo hapo juu hawezi kuwa mkamilifu.Haina tabu nitajifunza tu mkuu.
Lakini sasa hebu fafanua nilichokuomba ufafanuzi.
Mimi nimesema Mungu mwenye upendo wote, uweza wote na ujuzi wote hayupo.Kama Mungu hana moja ya sifa hizo hapo juu hawezi kuwa mkamilifu.
Kwahiyo unataka kusemaje?Ikiwa Mungu ndio muweza wa yote kwann amemuacha shetani atupotoshe ?! Kwann asingemuua/kumuangamiza ili watu wote wamuabudu yeye?! Na kwann alituumba wadhaifu na juu ya hilo akaruhusu shetani atupotoshe! ...Nitarudi.
Wewe huamini kuwa Mungu yupo. Wala huamini kwamba mapepo yapo. Je, hao watu wanaopandisha mapepo wanaweza kutibiwa hospitali za wagonjwa wa akili? Je, hao wanaowaombea wakapona ambao unawaita "people with neither training nor qualifications" unawaelezeaje? Je, wanatumia ujuzi gani na wameupata wapi?Can you prove god exists?
Demons do not exist. There are mental health issues which people with neither the training nor the qualifications call demonic possession.
Next time you want a conversation with me reply to my post or tag me. Otherwise I may not see your post.
Nafikiri unaelewa maana ya B.C.,na unaelewa miaka ilivyokuwa zamani ikihesabiwa vipi na sasa ikihesabiwa vipi.Ukisema hivyo unamaanisha miaka 1000 iliyopita kulikuwa hakuna tetemeko maana hakukuwa na matumizi ya silaha Kali..
Lete uthibitisho wa kuwako shetani.Ikiwa Mungu ndio muweza wa yote kwann amemuacha shetani atupotoshe ?! Kwann asingemuua/kumuangamiza ili watu wote wamuabudu yeye?! Na kwann alituumba wadhaifu na juu ya hilo akaruhusu shetani atupotoshe! ...Nitarudi.
Toa ushahidi wa Mungu,kumfanya mtu atengeneze silaha za maangamizi,kutoka chanzo unachokiamini wewe.Kwa hiyo tukiulizwa nini chanzo cha majanga asilia? tuseme ni matumizi ya silaha?
Kwa nini Mungu amuumbe mtu akiwa na ujuzi wa kutengeneza silaha za maangamizi?
Inaonekana matatizo ya ubongo yanakuathiri kila idara.Jifunze kuandika kwa ufasaha kwanza ndipo uulize swali.Toa ushahidi wa Mungu,kumfanya mtu atengeneze sikaha za maangamizi,kutoka chanzo unachokiamini wewe.
Umeshindwa kutoa ushahidi,wa kuonyesha silaha za maangamizi chazo chake ni Mungu.Inaonekana matatizo ya ubongo yanakuathiri kila idara.Jifunze kuandika kwa ufasaha kwanza ndipo uulize swali.
SOMA MWANZO 3 ni fupi. ili uwe uelewe ninaongelea niniKwa nini duniani kuna mabaya?
Kwa nini kuna dhambi?
Kwa nini kuna majanga asilia?...tuanzie hapo.
Kama utakumbuka nimewahi kuleta uzi wa makosa 10 aliyotenda Mungu, kosa la kwanza na kubwa kabisa ni kumuumba Shetani.Kwa nini Mungu alimuumba Shetani ili hali alijua Shetani atakuja kuasi na kumpotosha Binadamu?SOMA MWANZO 3 ni fupi. ili uwe uelewe ninaongelea nini