Somo la "immanent critique" ulilielewa?Ujinga anao yule anayekataa,uwepo wa Mungu,halafu akuulizia kuhusu vitabu vya huyo asiyekuwepo.
Wacha kuzunguka,toa ithibitisho wa mabaya,kwa nyenzo unayoamini wewe.Vya Mungu unayemuamini.
Kwani wewe unamuamini Mungu yupi?
Au humuamini Mungu na wewe?
Wewe unamuamini au humuamini Allah?Wacha kuzunguka,toa ithibitisho wa mabaya,kwa nyenzo unayoamini wewe.
Usikwepe sawali,toa uthibitisho wa mabaya ni yapi.Somo la "immanent critique" ulilielewa?
Maana naona kama hukuelewa inabidi turudie upya.
Au kiingereza kilikupiga chenga umejidai kuelewa kitu ambacho hujuelewa?
Maswalibyako yanaonesha hujaelewa "immanent critique" ni nini bado.
1 Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi.Vya Mungu unayemuamini.
Kwani wewe unamuamini Mungu yupi?
Au humuamini Mungu na wewe?
Wewe wamuamini Allah?Na waamini Qur'an?Wewe unamuamini au humuamini Allah?
Unaiamini Quran?
Kama mabaya hayapo, huyo Mungu wenu anavyotaka kuwahukumubwatu kwa mabaya anakuwa kakosea au vipi?Usikwepe sawali,toa uthibitisho wa mabaya ni yapi.
kwa kujibu hili unathibitisha huelewi unatoka wapi na unaenda wapi ktk hili. naomba ushirikiano katika hatua tuliofikia.Hujathibitisha kwamba Mungu yupo unarukia kusema Mungu kaumba hili na lile.
Unaiamini Quran? Unaamini kuna kiyama? Unaamini kuna hukumu kwa waliotenda mabaya?Usikwepe sawali,toa uthibitisho wa mabaya ni yapi.
Iyo aya ya kwanza tu... chenga. Mbingu ni zipi na nchi ni zipi??? Binaamu kakaa chini kaona atunge huo uongo... yaani Mungu mwenye uwezo wote anapumzikaje?? Mungu amevalishwa taswira ya binadamu...1 Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi.
2 Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji.
3 Mungu akasema, Iwe nuru; ikawa nuru.
4 Mungu akaiona nuru, ya kuwa ni njema; Mungu akatenga nuru na giza.
5 Mungu akaiita nuru Mchana, na giza akaliita Usiku. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku moja.
6 Mungu akasema, Na liwe anga katikati ya maji, likayatenge maji na maji.
7 Mungu akalifanya anga, akayatenga yale maji yaliyo juu ya anga na yale maji yaliyo chini ya anga; ikawa hivyo.
8 Mungu akaliita lile anga Mbingu. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya pili.
9 Mungu akasema, Maji yaliyo chini ya mbingu na yakusanyike mahali pamoja, ili pakavu paonekane; ikawa hivyo.
10 Mungu akapaita pale pakavu Nchi; na makusanyiko ya maji akayaita Bahari; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.
Wewe waamini hayo yapo?Unaiamini Quran? Unaamini kuna kiyama? Unaamini kuna hukumu kwa waliotenda mabaya?
Kwa sababu tunatumia "immanent critique"Wasiomuamini Mungu,ili kujenga hoja wanatumia vitabu,vya wanayesema hayupo,itakuwaje utumie kitabu kisicho na mwenyewe?
Why do you think there is an intelligent being?kwa kujibu hili unathibitisha huelewi unatoka wapi na unaenda wapi ktk hili. naomba ushirikiano katika hatua tuliofikia.
who is this intellient being /designer. au haukubaliani na hiki kitu kwanza. Utajibu hapa kwa kujibu nilichokuomba then na mimi nakupa upande wangu
Huyo Mungu,wasema hayupo,sasa haya umeyapata wapi?Kama mabaya hayapo, huyo Mungu wenu anavyotaka kuwahukumubwatu kwa mabaya anakuwa kakosea au vipi?
Mnaamini Mungubyupo na atatoa hukumu kuhukumu waliofanya mabaya.
Halafu mnataka uthibitisho kama mabaya yapo.
Mnajichanganya.
Hamjui kama mnaenda au mnarudi.
Nimekubana pabaya,huna jibu.Kwa sababu tunatumia "immanent critique"
en.m.wikipedia.org/wiki/Immanent_critique
Tatizo hujaielewa "immanent critique" ni nini halafu unajidai umeielewa lakini maswalibunayouliza yanaonesha hujaielewa.
Nabishana na ngumbaru.
Natumia immanent critique.Huyo Mungu,wasema hayupo,sasa haya umeyapata wapi?
Usikwepe swali.Thibitisha ubaya ni upi.Natumia immanent critique.
Unaelewa "immanent critique" ni nini?
Unaweza kuielezea kwa maneno yako hapa tujue unaielewa na una uwezo wa kuendelea na mjadala huu?
Huamini Quran?Usikwepe swali.Thibitisha ubaya ni upi.
Wewe waamini Qur'an?Huamini Quran?