Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
Patiently waiting for Pundit's input, followed by Mkandara, Kulikoni & Yebo Yebo....
Hate it or love it...mambo mengi aliyosema humu yanalenga kwenye ukweli at least IMO.
Inaelekea elekea kuwa huyu ni BWM, maana misamiati hii migumu migumu ni hulka ya BWM anapoandika au kuongea kiingereza. Mara ya kwanza alipohutubia pale Nkurumah hall, kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa hotuba yake ya kusoma ilikuwa ni full "bombastic" utadhani alikuwa anawaonyesha wasomi kwamba wao hawajui kiingereza ila yeye ni kibo kwa umombo!
mhhh unajua kanimaliza hapo alipoamua kuwawashia CCM na CHADEMA na kama ujuavyo luga aliyotumia nayo kidogo kuna baadhi ya watu wanaona ugumu kuijibu
You gotta love JF!
EBWANA SALAMA LAKINI? UPO?
Something like a political crisis is taking place in Tanzania . But don't hold your breath: it is simply a big circus – played by demagogic politicians, gluttonous businessmen and knuckleheaded journalists who are interested in nothing else but more money, more power, more attention and, do not discount it, more mistresses for themselves.
So, a better way to scan the current political landscape and its undercurrents is to get a grip of who these players are, what their motives could be, and the hypocrisy of the whole ongoing theater..
Pamoja na kuwa watu wanaweza kukichambua hiki kipande watakavyo na huenda wakaja na ukweli zaidi,,, mimi binafsi nilipokiona nimejua uandishi wa nani na nakikubali kichwa chake. Hizi hoja zake % kubwa (si yote) ni kweli... Mzee rudi ukumbini, unahitajika tena hapa mkuu! This' interesting to read. You know em folksBack to the subject. ebanae this piece ina ukweli mwingi tuu sema tatizo ni kuwa kuna supposedly untouchables nao wameguswa. Tutaanza kumshambulia muandishi badala ya hoja zake.
3. Saed Kubenea – Stan Katabalo impostor, only without the education, the sophistication, the principles and steely determination for which Katabalo is remembered for A little Kingmaker in the making, if only he would be aware that he needs to stop being a pawn in the great political game. He gets direct congratulatory calls from Sumaye, Magufuli, Butiku, Warioba and others whenever his paper comes out. He is welcome at Salim A. Salim house. This is such an awesome achievement for a person who is half-schooled and who has never read any major literary work of non-fiction (and who might not get this joke). That our politicians would embrace Kubenea, who still milks the "acid incident", speaks of the level of their desperation to smear each other (in the name of "saving the country").
4. John Malecela – a moral guide to what is going on in the Parliament at the moment. The beauty of watching politicians is when the lie to each other. Malecela hates JK to the bone but you wouldn't know seeing the two of them in public. He still believes that Emmanuel Nchimbi killed his son (through voodoo), and, somehow, that facilitated JK's ascendancy to the Presidency. He is a reasonable man and good father but his vengeful and opportunistic wife is steering him out of reason and hastening his path to senility.[/
8. Anne Kilango Malecela – a noisy heckler who cannot get over the fact she is not the First Lady. A tough and fearless woman whose vengeful inclination is either very suited or totally not suited for her new role as top disciplinarian in the parliament. But we like her.
GT,
Mbona mchokozi? Of all mentioned umeiona hii tu ya Malecela?
7. Absalom Kibanda – The editor of Tanzania Daima is really an attack pit-bull that Freeman Mbowe unleashes once in a while. (Deodatus Balile is a pitbull for Rostam Aziz). The problem with Kibanda is the "Mbeya problem". He hasn't gotten over the fact that Mwandosya lost to JK fairly and squarely in 2005.
5. Augustine Mrema the man needs help.
Na sasa nasikia ameajiriwa na fisadi Lowassa.
Why do ai have a feeling that I have seen the lips of this fella who wrote this piece?
But he is a graduate(japo degree yake tunaweka kuiclassify kama MICKEY MOUSE DEGREE) here is the evidence:
One thing is for sure, I seriously queston his SANITY..hili kila mtu analijua ..theory yangu ni kuwa zile itikafu za msikiti wa kwa Mtoro na marehemu Sheikh Kassim probably zinafanya kazi yake