Hapa namkubali sana mtu wa naono amenifundisha mengi kwenye kazi zetu uwasilishaji ujumbe kimasihala hata mods hawazifuti wakidhani masihala hadi muda yanapotokea ndo wanashangaa namaanisha
Pascal Mayalla mungu amtunze mzee wetu huyu
Mwingine ni kaka yetu ambaye hatujuani zaidi ya Majukwaani humu
Maxence Melo , kulikuwaga na shida fulan sehemu huku diaspora nikamfuata anonymously bila kujua mi Nani miaka ya nyuma aliniokoa kwa jambo fulan ndo maana nakuwaga makin sana watu wakianza kuichokonoa JF ntaweka kila mbini iendelee kusimama ni mtu na nusu yaan Mello Ana roho ya Pekee
Mwingine ni
Sky Eclat ninamkubali sana japo sijawai kua umri wake! Nisije anza mambo ya chakula cha jion ambacho anasemaga Mayalla
Kuna mwenzangu
MALCOM LUMUMBA namkubali sana
Kuna
Kalamu na
Tindo hawa nawakubali sana
Mshana Jr namkubali aiseee
Kuna
Nyani Ngabu Saint Ivuga Mwifwa
Kuna wengi sana yan
Nawapenda MMU wote
Britanicca