Maoni yangu juu ya hili ni kwamba mada za aina hii kwa wakati kama huu zinatuondoa kwenye lengo muhimu tulilonalo kwa sasa juu ya taifa letu.
Baadhi yetu tunaingia humu JF kwa sasa kwa lengo moja tu; hilo la kuchangia juhudi za kuiokoa nchi yetu; haya mengine hayana umuhimu wowote kwa sasa.
Nimeona mada nyingi za akina Lucas, Instinct, Choicevariable, Kavulata, na wengi wa aina hiyo. Pengine hao ndio wanaostahili kujadiliwa na kupewa hadhi wanazozistahili kwa sasa hivi humu JF.
Hawa watu wanapata wapi nguvu za kutetea utawala wa aina hii wakati kama huu.
Kwa maoni yangu, hawa ndio wanaofaa kujadiliwa kwa kina; siyo sisi tunaohangaika kutafuta njia za kuibadili hali iliyopo sasa.
Kuna viongozi wanasema "kazi ya kuwaua waTanzania ni ya kutukuka"!