Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 19,879
- 40,963
Na namba zake nampigia nihakikisheeSasa hv naskia yupo temeke mwisho pale anatoa semina ya upikaji wa ubuyu wa nzanzibar
Na namba zake nampigia nihakikisheeSasa hv naskia yupo temeke mwisho pale anatoa semina ya upikaji wa ubuyu wa nzanzibar
niko poa kabisa sijui wew sameja nimekumis mnooooUpo poaa mzima wewe
Nikija nakuchekii kijana still sinarudiiNipo brother
Aaaaah sawa sawa ngoja nimalizane na mizigo hapa.. leo nipo temeke mwisho huku kuna mzigo wa kwenda msumbiji nasafirisha ila tapitia rangi tatu soon mkuu 😄🙌🙌🙌🙌Poor Brain, Kuna HANSON CHOICE kubwa pitia hapo ZAKHIEM DAR LIVE ulizia kaka sidee atakupatia 😊
Twende uzii wa selfika 😄😁niko poa kabisa sijui wew sameja nimekumis mnoooo
woyooooooooTwende uzii wa selfika 😄😁
Ni kama unataka kugombanisha watu 😄😄😄😄😄 mcheki lakini nin uhakika yupo.paleNa namba zake nampigia nihakikishee
Poa poaa, umesha achana na mishangaziiii😄 maana nilisikia unaupiga mwingiiiAaaaah sawa sawa ngoja nimalizane na mizigo hapa.. leo nipo temeke mwisho huku kuna mzigo wa kwenda msumbiji nasafirisha ila tapitia rangi tatu soon mkuu 😄🙌🙌🙌🙌
Haina nouma kaka, tupoNikija nakuchekii kijana still sinarudii
😄😄😄😄 Mkuu kunitoa mimi kwa mishangazi ni Uncertainty principle....Poa poaa, umesha achana na mishangaziiii😄 maana nilisikia unaupiga mwingiii
Chizi Maarifa ameweza kupata na wake zake Chizi Maarifer na Chizi Msomi inaonesha ni namna gani ni mtaalam wa kushughulikia makebo yao😁
unamjua daktari mariposa? 😄
wengine washatajwa huko juu cc bint wa zamani, mshana, seran nk
ila niwe mkweli nimemis umbea wa da Nifah saivi sijui kapotelea wapi