Wajinga ndo wana upofu wa mapenzi,mtu makini anaejua upendo ni nini hana upofu!
Ukijua kupenda ni nini hauitaji muda!
Eiyer
Love haifundishwi, ila unaweza kujifunza kumpenda mtu.., (what I mean hata mtoto anayezaliwa leo, emotions na chemistry zinamfanya awe capable kupenda na kuchukia) hii kitu ipo within kila kiumbe.
Mtu unaweza kujifunza kumpenda mtu, kwa kutafuta qualities zake fulani na kuzizoea, hence baada ya muda companionship na mazoea yatalead kwa kumpenda huyo mtu.., (Instead ya kuangalia negatives za mtu una-concetrate kwenye mazuri yake).
Ila kusema fulani hajui kupenda.., its a bit too far its like there is one universal way someone should love another, all saying someone is emotionless
muda husema kila kitu na una maana sio kila milango tunapiga hodi tunafunguliwa kwa wakati mingine hufungwa kabisa au kufunguliwa kwa kuchelewa
unaelewa nini kuhusu huo upofu?, mi nimemwambia kongosho sina upofu katika mapenzi naona kanipiga dongo kuwa napenda kwa kichwa.
Mi ni mjinga ninakiriWajinga ndo wana upofu wa mapenzi,mtu makini anaejua upendo ni nini hana upofu!
emotion of strong affection and attachment; hivyo basi utaona kwamba hata mtoto akizaliwa, au kiumbe chochote kikizaa kunakuwa na attachment na affection kati ya mama na mtoto, huyu mtoto akikua kuna watu (marafiki anapata) ambao anakuwa na affection na attachment kwao.sun wu,hebu niambie kupenda ni nini ili ujue kama kupenda kunafundishwa au unajua tu from no where!
kwani wewe upofu wa mapenzi unauelewaje? Labda tunaelewa kwa namna tofauti? Ni lazima uwe kipofu ndio uonekane umependa kwa moyo?
Wajinga ndo wana upofu wa mapenzi,mtu makini anaejua upendo ni nini hana upofu!
Sio kwa kile unachokijua!
MwanajamiiOne, nimelipenda suali lako, ukipata majibu tafadhali nambie na mimi nijue. lol.
Ila nikijaribu ku-define, tokana na experience yangu, na the way watu wanaongelea kuhusu love and infatuation ni hivi:
[TABLE="class: grid, width: 500, align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]Love[/TD]
[TD]Infatuation[/TD]
[TD]Lust[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Reasons[/TD]
[TD]Strong reasons[/TD]
[TD]No apparent/weak reason[/TD]
[TD]Sex appeal[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Time frame[/TD]
[TD]Long lasting, quite constant[/TD]
[TD]Comes and goes, strong/weak alternances[/TD]
[TD]Until you get it. lol[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Your needs[/TD]
[TD]You want to give[/TD]
[TD]You want to get[/TD]
[TD]Sexual[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Center of attention[/TD]
[TD]Him/Her[/TD]
[TD]You[/TD]
[TD]Sex[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Of course sio kila wakati inakua hivo ila in general that is what I (RussianRoulette) see as general differences. Kuna feelings that cut accross two of these, maybe three... na zingine hu-swing from one to the other depending on the needs etc...
Sasa mkuu wangu nikusaidieje hapo? That is for smart people, sisi tuko hapa kujifunza bado... But hiyo study makes sense.A GOOD TABLE/MATRIX... kuna study moja kwenye management, inaonyesha kwamba majority ya smart people huwa hawafall kwenye one box, they smartly meander through the boxes throughout the lifetime
please nisaidie hapo
hii ni kauli ya kimajununi...
kiburi na masifa ni sumu kubwa ya personality kwani wapuuzi huvaa miwani za mbao na kudhani dhaifu za nafsi ni ujinga... nahasa tukikubali kwamba hakuna ajuaye kipimo sahihi cha umakini na mapenzi duniani
Ati Eiyer anadhani anajua upendo.... na pia anahisi hana upofu
Pia nimeona sehemu anazungumzia muda na penzi (quoting Chauro), hata ule upendo wa yesu una muda, pale unapoujua na kuupokea.... NEGLECTING TIME IN LOVE IS LIKE READING SCRIPTURES UPSIDE-DOWN
Sasa mkuu wangu nikusaidieje hapo? That is for smart people, sisi tuko hapa kujifunza bado... But hiyo study makes sense.
Hivi nini kipo kati yetu?
Ukiwa nami ninafarijika
Ukiwa mbali ninasikitika.
oooh ah! ah! aaah!
hapo juu sio maneno yangu ni maneno ya msanii anaitwa "besta"
Kwa sredi hii naona kama nimemaliza wala nisiulizwe swali hata la kizushi.
Hivi nini kipo kati yetu?
Ukiwa nami ninafarijika
Ukiwa mbali ninasikitika.
oooh ah! ah! aaah!
hapo juu sio maneno yangu ni maneno ya msanii anaitwa "besta"
Kwa sredi hii naona kama nimemaliza wala nisiulizwe swali hata la kizushi.
Deskmate mbona hujajibu suali sasa?Hivi nini kipo kati yetu?
Ukiwa nami ninafarijika
Ukiwa mbali ninasikitika.
oooh ah! ah! aaah!
hapo juu sio maneno yangu ni maneno ya msanii anaitwa "besta"
Kwa sredi hii naona kama nimemaliza wala nisiulizwe swali hata la kizushi.