WhatsApp yawakaba koo waongo, sasa kuumbuka!

WhatsApp yawakaba koo waongo, sasa kuumbuka!

Teh teh...kuna option ya kusomea msg offline pia.....hamna cha vitiki vya blue wala kijivu.....

Mmmmh hii ya offline inaweza kua ni kiboko yao yaani nazima data then nasoma msg haaaaahaaa acha nijaribu duh ila nikiisoma alafu nikawasha data hakuna umbea wa mirangi rangi.
 
na uki-set privacy for "last seen" iwe "nobody" ticks zinakuwa nyekundu au...hiyo ni kwa wale washakunaku wa kutaka kujua umeingia whatsapp mara ya mwisho saa ngapi
 
Back
Top Bottom