WhatsApp yawakaba koo waongo, sasa kuumbuka!

WhatsApp yawakaba koo waongo, sasa kuumbuka!

Mi nataka walete ile ya sms za watsapp unaziona kwa unaetaka uzione patam hapaaa
 
Hahaha sisi wa iphone raha sana, iphone ikiwa locked notification zote unazisoma juu ya screen kabla hata hujaunilock simu
 
Niliona jana kwenye simu yangu..nikashangaa ya Mussa haya....
 
Sina muda na wasapu na wapendwa wangu wote wanalijua hilo.
 
haaaaaaaa maboresho ya katiba ya wasapu......loooh
 
Kama msg delivered mtu alikuwa anakwambia hajaona ujumbe, atashindwaje kukwambia amesoma ujumbe ila hajauelewa. Au hausomeki vizuri!? Inategemea na mtu
 
Kuna kitu ni me observe. Wale ambao nimekuwa nawasiliana nao awali, hizo tick sio za kijani. Lakini watu ambao nimeanza kuwasiliana nao jana, hizo alama za kijani zipo.

Sasa sijui hii ni kwangu tu au na wengine wameiona hali hii.

Tiba
 
Muongo muongo tu, hata apakwe rangi nyeusi atajitokeza kwa rangi ya da mwati watu wote wamuone
 
Duuh.. Tumekimbia bbm kwa sababu hiyo.. Sasa wameleta mpaka whtsapp tena..! Ngoja nijirudie kwenye msg zangu za analogue mie.. Ugomvi sitaki..
 
Mimi sikubali mpaka walete option ya ku-logout ndo ntawaona wa maana

Wao wanaumiza akili kurahisisha maisha ili dunia iwe ni sehemu nzuri ya kuishi na siyo kuumiza akili ili tutimize malengo yetu maovu.
 
mbona hata meseji za kawaida zinaonesha kucika lakini bado tunakataa kuwa hazijafika au mtu anasema hajaiona
 
Back
Top Bottom