G
guest-1790917349
Guest
Mimi sikubali mpaka walete option ya ku-logout ndo ntawaona wa maana
Hili nalo neno
Mimi sikubali mpaka walete option ya ku-logout ndo ntawaona wa maana
Sasa habari ya kulogout na kuficha maovu vinakuja vipi?
Nilikuwa mbioni kujiunga wasaapps....mara baada yakusikia imenunuliwa na facebook....nikaghairi. Hivyo hiyo kadhia siijui.
Kuna kitu ni me observe. Wale ambao nimekuwa nawasiliana nao awali, hizo tick sio za kijani. Lakini watu ambao nimeanza kuwasiliana nao jana, hizo alama za kijani zipo.
Sasa sijui hii ni kwangu tu au na wengine wameiona hali hii.
Tiba
Kwanza Wamiliki wake wanashabikia utenda dhambi,mahusiano ya jinsia moja. Pili mtandao ule unahusika na kutumika na maofisa wa serikali ya merekeni...kuchambua taarifa za siri za watumiaji wa mtandao huo...hakuna faragha hapo. Kwangu faragha ni jambo la muhimu sana.Una tatizo gani na Facebook?
ha ha ha ha naogopa
Sasa mbona ujumbe wangu umeonesha tiki mbili za blue na hujanijibu.....
Mimi kwangu mbona sipati hio kitu? hebu nitumie namba yako nijaribu kukutumia
Mmmhhhh...... Twin
Toka lini wabongo tukakosa sababu mimi napigiwa simu na naiona inaita ila nikiulizwa baadae nasema haikuita kwangu msala nawapa tiGO itakua iyo mirangi hata iwe RED nasema sijapata ujumbe waneshindwa last seen itakua mirangi rangi.
Halafu hivi kwa nini hawaruhusu kublock Group halafu baadaye ukitaka unarudi ie unblock kama inavyokubali kwa individual manake Groups sometimes zinakera ile sms kila saa hvyo ni vyema wangeweka option ya kublock baadaye ukitaka kusoma SMS zilizotumwa unblock
Possibly your are blocked....