Ndalama
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 8,787
- 6,543
Kuna kitu ni me observe. Wale ambao nimekuwa nawasiliana nao awali, hizo tick sio za kijani. Lakini watu ambao nimeanza kuwasiliana nao jana, hizo alama za kijani zipo.
Sasa sijui hii ni kwangu tu au na wengine wameiona hali hii.
Tiba
Yaani ni vurugu tu kwangu wote ni wa zamani lakini hizo rangi zinachagua kuna wengine zinaonesha tick za blue na wengine za kawaida kama zamani