whatsapp killer application

elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,260
9,704
kwa wale wapenzi wa kuchat, kuna application inaitwa wechat ina features nyingi zaidi ya whatsapp ebu ichekini ni nzuri sana.
Kuna mdau aliwahi leta thread kuhusu hiyo app lakini kipindi kile walikuwa wametoa version ya kichina tu sa hivi inapatikana kwenye vwrsion ya english pia
http://wechatapp.com/m
Usisahahu kuniadd kwa leo012 ndio id yangu
 
The new way to connect

Bahati mbaya sana hai-support Blackberry
 
kwa wale wapenzi wa kuchat, kuna application inaitwa wechat ina features nyingi zaidi ya whatsapp ebu ichekini ni nzuri sana.
Kuna mdau aliwahi leta thread kuhusu hiyo app lakini kipindi kile walikuwa wametoa version ya kichina tu sa hivi inapatikana kwenye vwrsion ya english pia
The new way to connect
Usisahahu kuniadd kwa leo012 ndio id yangu
deeeeam MAN are you serious?? a charting app iwe na 14.4MB??? halafu iwe haisupport kuhamisha to SD itakua masihara hayo
 
Hiyo inawafaa vijana, kwa wazee ni kero, nilijidai kuiweka kwenye simu yangu nikawa silali wala sili kwa raha, kila dakika ujumbe unaingia, kila mtu aliye kwenye contacts na mwenye hiyo anajuwa sasa zomba yupo online. Nimei delete baada ya wiki tu. Pheew.
 
ina mb nyingi mno ziko hivi

iPhone - 32.3MB
Android - 14.4MB
Windows Phone - 7.0Mb
Symbian keyboard - 3.2MB
Symbian touch screen - 4.7MB

sasa mimi niko hapo kwenye 14.4MB
 
mi nnayo but kitu kinachofanya watsapp ipendwe ni privacy yake. Hii app unaweza kupata marafiki hata kama huna namba zao.

Mfano ukienda people near you inakuletea majirani zako wote inakwambia huyu yupo na wewe km kadhaa toka ulipo au mita kadhaa so itaendelea kua kama app nyengine za nimbuzz, kik na imsy.

Tena naona imsy ndo inakaribiana sana na watsapp kuliko hii wechat
 
mimi natumia symbian ndo maana ina 3.2, sa we kama watumia hizo os lazima iwe na mb zaidi kwakuwa may be itakuwa rich in graphics hata games za iphone na android znakuwa na mb zaidi kuliko za symbian so sion hajabu.
Halafu unaye lalamikia bundle kumbuka ukitaka kizuri sharti ugharamikie
 
Blackberry wasipokuwa makini watapoteza soko,yani hawakosharp kucatch up na vitu vinavopendwa na wengi au basi hata wateja wao.
 
kwa wale wapenzi wa kuchat, kuna application inaitwa wechat ina features nyingi zaidi ya whatsapp ebu ichekini ni nzuri sana.
Kuna mdau aliwahi leta thread kuhusu hiyo app lakini kipindi kile walikuwa wametoa version ya kichina tu sa hivi inapatikana kwenye vwrsion ya english pia
The new way to connect
Usisahahu kuniadd kwa leo012 ndio id yangu

mkuu natumia Nokia c1 nawezaipata?
 
vipi inasurpot kwenye Nokia c3?
 
Back
Top Bottom