huu ndo ujirani na undugu wa kweli! Tunashirikiana na kupendana ktk shida na raha!
I dont think.well said.
=mkereme;467156]
Wewe Darkcity!
Acha ushamba huyo Vasco da Gama wenu Jakaya Mrisho Kikwete aka Matonya huwezi kujivuna kwamba yeye ni wa kwanza from Africa kwenda kumwona Hussein Obama this is ribbish and bullshit!
My friends from Kenya do you see how hawa wa TZ walivyo wapuuzi! How can you be proud of a president turning his rich country into ombaomba!!
Huo msaada anokwenda kuomba huko states is just a peanut!
Pesa za dhahabu ya Barrick Gold wanazouza kwa mwaka its more than his annual budget and due to his stupidity anasema TZ is poor ? Who told him? Pesa za Millenium Challenge about the same amount ya tax evasion by maswahiba wake wakubwa Rostam Aziz na Subash Patel!
Komeni kujivunia ujinga kama yeye ni wa kwanza je Madam Michelle ni wa ngapi?
zzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz............ jamaa akipeleka bakuli ngambo, mwampa hongera, makuu hayo.. kusema kweli ni wakati wenyu wakuzungusha bakuli, haya, yaja lini huku kwetu tuwape mapeni pia sisi,ingawa tuna shida.
Dark city, mambo ya kilimanjaro ya kukera kweli!! Hebu jiulize imewachukua miaka ngapi mkipiga domo ati twajaribu kuchukua kilimanjaro, na hamfanyi chochote? Miaka mingi tu! Mwajua mlima uko Tizedi, all you need to do is market the Mountain to favour your tourism, its not rocket science, uswahili hausaidii.
Today, Kikwete still occupies that special and envious place in the eyes of American leadership, said The Sunday Standard.
Dark city.
Wewe ni **** nini? Watanzania wenzako wanakujibu and then you are talking as if ni Kenyans ndio wamesema maneno hayo.. Grow up, na uache kujifanya vile wewe ni mstaarabu na una fitina zisizo na msingi.. Go vent that anger on something else, dude, get laid or something.
Your post has shown your inability to grasp issues, I am starting to doubt whether you know what you have posted in the first place.
Smatta,
Umerukia treni kwa mbele. Hii mada haijadili kama JK kaenda kuomba au la. Inajadili maoni ya media ya Kenya kuhusu mkutano wa JK na Obama. Kama unataka tuanze kutukanana basi tunaweza ila sisi hatukulelewa hivyo kama wanaharamu. Hebu kwanza tueleze hii hapa chini ilikuwa na maana gani?
Kama huna jibu kaa kimya. TZ ni wastaarabu na hatupendi shari na upuuzi wa Mungiki. Hatuna muda na mapanga na jambia. Leta tu hoja au soma uondoke.
I dont trust Kenya media anyway.THISDAY REPORTER
Dar es Salaam
Tanzania elbows Kenya to become darling of the US, said a headline in yesterdays edition of the Kenyan English-language newspaper Daily Nation.
.
Wewe Darkcity!
Acha ushamba huyo Vasco da Gama wenu Jakaya Mrisho Kikwete aka Matonya huwezi kujivuna kwamba yeye ni wa kwanza from Africa kwenda kumwona Hussein Obama this is ribbish and bullshit!
My friends from Kenya do you see how hawa wa TZ walivyo wapuuzi! How can you be proud of a president turning his rich country into ombaomba!!
Huo msaada anokwenda kuomba huko states is just a peanut!
Pesa za dhahabu ya Barrick Gold wanazouza kwa mwaka its more than his annual budget and due to his stupidity anasema TZ is poor ? Who told him? Pesa za Millenium Challenge about the same amount ya tax evasion by maswahiba wake wakubwa Rostam Aziz na Subash Patel!
Komeni kujivunia ujinga kama yeye ni wa kwanza je Madam Michelle ni wa ngapi?
Siku nyingine kama huna cha kuongea ukae KIMYA, sawa?
You cant tell me what to do son, I will comment on anything in any way which fits my liking.
You have attached that note, saying that JK is in an envious position with BHO, that puts to test your intelligence.. if you think that being in an envious position means that people wanakuonea uwivu, yo really have a long way to go.
One thing I have noted about you Dark city is that, your heart not your brain dictates what you post here, quit catching feelings, we are discussing things which are affecting people across borders, like the habbit of African leaders begging for funds, which will eventually benefit them and their croonies and not the poor mwananchi he used to solicit for the donor fund.
SMATTA HAENDI KOKOTE, NIPO NIPO SANA.. DO SOMETHING ABOUT IT.
Hawa ma nyan'gau wanasema nini? The truth is, the EAC cant work, not for along time. Nchi inagombaniwa na watu wawili mpaka wanalostisha watu wao.. The only way to deal with dogs is to put a leash on them if they are calm and shoot them when they have rabis.. Ngoja niingie IKULU..lol
But seriously, sioni tatizo hapa ni nini. Hakuna chochote cha maana ambacho Tanzania itapata kutoka marekani, ni yale yale tuu. The real interest has neve been tz or ke, its DRC and Sudan... Even the secret war in the Horn of Africa is about that.. Energy-China-Yankees... Kikwete anakuwa probed as a potential tool, Kibaki and the rest of his idiot opponents wameonekana wako too contraversial na wanatishia interests za marekani kwa kuaribu utaratibu.. Hii relationship kati ya marekani na hivi vi nchi vyetu nikama peadophelia tuu.. wanataka kututumia kwasababu sisi watoto..lol.. so If kenya wants to be the main ***** then by all means... tuwaachie..lol
P.S Kikwete nae anamatatizo... anaongeza popularity yake na ya Tanzania lakini hafikirii matatizo yatakayotokea znz next year yatakuwa na effect gani kwa hiyo image yake... lakini its by all means better than our Mungiki-neighbours and their self-mutilation, surpassed only by the Rwandans...lol
Ab-Titchaz,Wakuu,
Please lets not digress from the thread and make this to be
a bashing thread for President JK and his 'ombaomba' ways.
Kenyan media has been looking at this thing for a while
now with some of them even reporting that Raila's visit
to the States was supposed to fuel anxiety amongst Kibaki's
PNU allies.When all was said and done, come to find out that
Raila didn't even meet Obama's officials let alont the man
himself.
Swali likaanza kutembezwa, is President Obama snubbing
Kenya?Added to this was the trip he is planning on when
he comes to Africa....Kenya haimo!Reasons for this are
there for all and sundry to see.
So that is where the curiosity is coming from and lets
discuss that.Kuna thread kule Tz Political Forum
inayojadili hii trip ya JK kuelekea unyamwezi na any venom
directed at JK can be discussed there.
Meanwhile to those who are saying JK's meeting with BHO is not a big
deal I beg to differ.He is the first African H.O.S to visit Obama
in the White house and it will remain so in the annals of History.
The only beef here is that(and I'm just presupposing) JK has
no face to tell Obama about what to do, to elevate the
struggle of the 'black man' in Africa and TZ, to be more specific,
simply because his hands are tainted na hizi skendo za mafisadi
during his watch.
Regards.