whatsapp killer application

whatsapp killer application

Nop huwa znatofautiana acording tu os kwenye symbian ina 3. Ila kwenye androids ina 14

Ila android wamezidi kua na software kubwa ndo mana simu zao bila double core hazifanyi kazi vizuri.
 
Ila android wamezidi kua na software kubwa ndo mana simu zao bila double core hazifanyi kazi vizuri.

Ni kweli mkuu ndomaana watu wakiona symbian haina dual core wanadharau bila kuzngatia ku appz za symbian n simple!
 
Ila android wamezidi kua na software kubwa ndo mana simu zao bila double core hazifanyi kazi vizuri.

kwani graphics ziko sawa mkuu??
kama android ina 14.4MB mnashangaa na ya iPhone yenye 32.3MB nayo imekaaje hiyo??
 
I Herd hii kitu haipatikani kwa Blackberry. Ni kweli?
 
kwani graphics ziko sawa mkuu??
kama android ina 14.4MB mnashangaa na ya iPhone yenye 32.3MB nayo imekaaje hiyo??

Ndo mana mimi hua napenda kulinganisha emulator maana emulator same graphics zinatumika maana games ni zile zile

Emulator ya gba symbian ni 128kb wakat android ni 520 ona same function.

Then nna s3 ya sis nkamdownloadia talking tom kachukua 6mb then nlivoinstall kadownload 24 mb jumla 30mb eti paka yule ana vitu vichacheeee ni 30mb dah jaman

Kuna tom cat wa symbian moded vile vile ana 5mb tu
 
Back
Top Bottom