Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,769
- 3,644
- Thread starter
-
- #141
vipaji vyangu
-KIPAJI MFU
-Football,ningezaliwa miaka ya karibuni hakika ningesakata kapumbu ulaya!nilikuwa nikikuchezea nyuma yaani beki ni noma!hata Messi hapiti!
-DECORATION yaani kupamba kumbi kwa ajili ya harusi!wanaonijua hawaniiti mpambaji,wananiita Mbunifu wa mapambo!niko na kampuni yangu ya mambo ya sherehe inaitwa The Function House!
anything from afro,afro-carribean,latin(reggae,salsa,chacha,cumbia,mirengue,rumbha....a bit of RnB .na nyingi zenye direct african taste..talk of music from D.R.C and South Africa in particular).
wa ki-afrika unanifanya niwe huru sana,NAONA NAFANYA CHA KWANGU HASWA,JAPO LUGHA YA MUZIKI DUNIANI KOTE NI MOJA!
Ha ha haaa!!! hicho sio kipaji mkuu. hiyo ni skills.
jamani bado nina kamba mguuni! nilijiunga kitambo lakini nilikuwa kutwa nachungulia kwenye mianya ndani kukoje kabla ya kugonga! nimegonga rasmi, nimekunwa na topic ya talent, kipaji changu ni upanga boi kunako 6 by 6, cjui kama ni talent au ni skills. mtadadavua kwa muda wenu.
mkuu kwani wanaume nao wanayaweza?? mimi ni mtoto wa kike haswa! mbona hakuna hata karibu, swali ndilo la kwanza? hebu kuwa mkarimu kidogo kaka!
U can still be the best footballer if you want to. all you have to do is have a will
muda ushakula kwangu mkuu siwezi tena!
Great talent. Nikitaka kuoa nitakutafuka mkuu.
karibu mkuu!unaweza kuchungulia kazi zangu ktk www.harusiyangu.com ktk decorators list cheki The Function House!pia facebook nicheki ktk this id ninayotumia hapa!karibu tena,booking muhimu,you know the date you inform me!
.........umesahau kimoja........Sawing. . .
Knitting. . .
Writting(lyrics, poetry, hadithi, tumakala n.k). .
Cooking. . .
Singing. . .
Playing piano. . .
. . . . .na nyingine nyingine.
Safi kabisa Luk,very inspiring!bigup young master,una vipaji vingi sana.
anyways, mimi ni kama ifuatavyo
-nafanya graphics vizuri bila formal training, i mean nimeweza kujifunza bila kukaa kwenye chuo na kupata cheti, lakini nime interview wenye degree zao na wengine nikawa disqulify, sio kwa wivu bali uwezo wao.
-naweza kitembea kwa mikono kwa umbali wa mita kama saba hivi.
-ni mvumilivu sana ninapotaka kitu sikati tamaa mpaka nipate (sijui kama ni kipaji)
-sikusoma english medium na wala sijasoma college yoyote lakini english yangu ni better than graduates wengi niliowahi kukutana nao au kuwasikia
-naweza kuwapa watu moyo (inspirational)
-ni hayo tu wajameni.
Mmmmmhhhhh? Na kihaya as international language imo kwenye orodha?It's'your lucky day, i can play the guitar
And I. Can sing too.
Naongea lugha nane, nne international. 🙂
You mean other than michelle iko ingine maneno?Women, race cars and my field of expertise.
Unaogopa wazee sura mbaya? Usituogope bana hatuumi.Vipaji vyangu
1: kulia machozi kama mvua
2: kuhudhuria misiba hata uwe vingunguti natokea hm Bunju mpaka huko hata kama hunihusu
3:woga, naogopa sana wazee hasa wenye sura mbaya. (Hichi kipaji au tabia?? )
4: ......naomba hichi nisikiweke wazi kuna watoto humu.