What's the last movie that made you cry?

What's the last movie that made you cry?

12 years a slave aisee.. Nilitoa chozi unconsciously
 
Who killed Nancy, filamu ya Kinigeria.

Tiba
 
kwangu mimi filamu moja inaitwa SEVENTY FIVE ilinisikitisha sana. itafuteni muicheki
 
NOT WITHOUT MY DAUGHTER.., hii ni bonge ya story jamaa wa kiarabu aliyekuwa akiishi Marrekani, alioa Mzungu na kuzaa naye mtoto1, baadaye jamaa akaamua aurudi akaishi kwao uarabuni na familia yake, huyu mkewe anakutana na hali ya ubaguzi na kuwindwa ili auwawe na vikundi vya harakati, anapanga mpango atoroke, lakini hawezi kutoroka bila mwane, yani anayokutana nayo huko mbele ya safari naomba uitafute hii movie, najua chozi litakutoka tu,
 
Back
Top Bottom