ChickMagnet
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 2,706
- 3,565
Hakuna movie iliyowahi kuniliza
ha ha ha wacha nisiseme kitu
CC OLESAIDIMU!!
The stoning of soraya.
Nyingi sana hazina hata idadi!!nina huruma sana mm!Semaaa. . . . . .mie sikulia ila nilisikitika sana kwenye Lone Survivor. . . . . .baada ya jamaa kupigwa RPG na kubingilika mpaka chini. . .. . . halafu jamaa alipotua tu akauliza. . . ."where is my rifle. . . . ????. . . .ilinisikitisha sana jamaa kakomaa na kaiva yupo matesoni, deadly zone ila anakumbuka mwanzi wake. . . ..
Nyingine nimeishau jina ila main actor Tyrese G mule ana act kama trainer katika camp ya kijeshi kuna bonge bonge black hivi anapewa drill amalize within 4minutes ila anamaliza 4:05 just five secs anaambiwa kafeli avue combat na buti arudi uswazi... .. .that was sad indeed. . . .jamaa anajirusha ghorofani lakini hafi. . . .
Mapango ya amboni..!!
jaman wale watu hawana huruma
Semaaa. . . . . .mie sikulia ila nilisikitika sana kwenye Lone Survivor. . . . . .baada ya jamaa kupigwa RPG na kubingilika mpaka chini. . .. . . halafu jamaa alipotua tu akauliza. . . ."where is my rifle. . . . ????. . . .ilinisikitisha sana jamaa kakomaa na kaiva yupo matesoni, deadly zone ila anakumbuka mwanzi wake. . . ..
Nyingine ni Annapolis main actor Tyrese G mule ana act kama trainer katika camp ya kijeshi kuna bonge bonge black hivi anapewa drill amalize within 4minutes ila anamaliza 4:05 just five secs anaambiwa kafeli avue combat na buti arudi uswazi... .. .that was sad indeed. . . .jamaa anajirusha ghorofani lakini hafi. . . .