What's the last movie that made you cry?

What's the last movie that made you cry?

Kwa nini? ulilia mkuu KikulachoChako!
Wakati naangalia hii filamu kwenye grossary iliyo karibu na home niliibiwa hela ya unga nusu na robo niliotumwa home...wakati maji jikoni yakiwa yanachemka....ikabidi maji wamuogeshe mtoto.....huku mzee nikiambulia kipigo kitakatifu.......
 
This one really made me cry mwishoni wakati dada got Cancer and she was dying.... Difficult moments ImageUploadedByJamiiForums1425422369.640483.jpg
 
Ni ya dk 93.



mkuu sasa hiyo movie ya HACHI nimeiona,, aisee nimekubali: upendo ya hachi za professor sizani kama kuna mtu angeweza kufanya vile, 10 years mbwa hakati tamaa!!!
 
mkuu sasa hiyo movie ya HACHI nimeiona,, aisee nimekubali: upendo ya hachi za professor sizani kama kuna mtu angeweza kufanya vile, 10 years mbwa hakati tamaa!!!

Ulizingatia kwa huyo mbwa aliwahi kuwepo kweli na kwamba hiyo si hadithi ya kutunga?
 
Ulizingatia kwa huyo mbwa aliwahi kuwepo kweli na kwamba hiyo si hadithi ya kutunga?


ya wanasema baada ya hachi kufa walijenga sanamu yake pale alipokuwa anakaa kumsubiri professor,,, sio siri inahuzunisha
 
Niangalie movie nilie nitajua nimeanza kuwa mwehu.
 
i have seen milions of movies ... kama unataka kushare na kudiscus about movies just Pm me with your number (it could be so beautiful if you have WhatAspp ) see you
 
tears of the sun yaani mwisho wa iyo film lazima machozi yananitoka mkuu
 
Je? ni movie gani ambayo ushawai kuangalia na ilikusabisha ukalia kwa kutoa machozi kabisa,

for me, THE FOULT IN OUR STARS which been directed by josh boone,

the foult in our stars, that hurt so bad like the last fifteen minutes of the move i saw balling my eyes out in theater. and when it ended i cried for another.,


NB; tufahamishe ni kitu gani au tukio gani? lilokufanya hadi ukalia, na ni vyema kama ukimtaja na muhusika aliyekufanya hadi ukalia, pamoja na simulizi fupi ya filamu hiyo

Nina furaha!
 
Zipo nyingi ila ninazozikumbuka haraka haraka ni WHITE HOUSE DOWN na COLLATERAL DAMAGE
 
Back
Top Bottom