What's the last movie that made you cry?

What's the last movie that made you cry?

The persuit of happiness na John Q

John Q, nayo inatia huruma sana, yule mke wa Denzel anachezaga sehemu zenye emotion nying

She is best hiyo sehemu. Tafuta kuna moja inaitwa 42
 
I watched "my name is Khan" last night and woke up with puffy eyes
 
Kwangu ni Nelia ya Afrika kusini na Suicide mission ya naijeria kwakweli hapo hua nalia mpaka leo
 
Je? ni movie gani ambayo ushawai kuangalia na ilikusabisha ukalia kwa kutoa machozi kabisa,

for me, THE FOULT IN OUR STARS which been directed by josh boone,

the foult in our stars, that hurt so bad like the last fifteen minutes of the move i saw balling my eyes out in theater. and when it ended i cried for another.,

kiukweki mimi hakuna
 
Huwa siangalii kabisa move za kibongo lakini siku moja nilikua natoka Tanga kuja Dar ndani ya basi wakaweka move moja ya kibongo inaitwa "Bado natafuta" kama sijakosea
Ilibidi tu niiangalie maana sina cha kufanya na nipo safarini bored
Cha ajabu nilikuta tofauti na matarajio yangu aisee, stori ilikua nzuri sana na inahuzunisha sana, kuna dada tulikua tumekaa nae hadi akawa analia kabisa, actual yeye ndio alisababisha hadi niifatilie maana kila dakika anakuelezea as if wewe huelewi unachoona

Inahuzunisha
 
kiukweki mimi hakuna

Jaribu hii, pengine itasaidia.
Hachi: A Dog's Tale (2009)
- 93 min --- Drama | Family

A drama based on the true story of a college professor's bond with the abandoned dog he takes into his home.
 
Jaribu hii, pengine itasaidia.
Hachi: A Dog's Tale (2009)
- 93 min --- Drama | Family

A drama based on the true story of a college professor's bond with the abandoned dog he takes into his home.

aisee ngoja niitafute kiukweli mi sijaona movies nyingi,,
 
Jaribu hii, pengine itasaidia.
Hachi: A Dog's Tale (2009)
- 93 min --- Drama | Family

A drama based on the true story of a college professor's bond with the abandoned dog he takes into his home.

Ndugu Tiger Nimeitazama hii filamu; inahuzunisha sana. Ukiwa na moyo mwepesi hakika utatoa machozi. Mimi nilihuzunika nusura nitoe machozi. Yule mbwa- Hachi anahuzunisha sana, jinsi alivyokuwa na upendo wa pekee kwa bosi wake, kiasi cha kuendelea kumsubiri usiku na mchana nje ya jengo alilokuwa anafundisha pasipokujua kuwa bosi wake, profesa alikuwa amefariki. Hata pale alipoondolewa, lakini baadaye alikuwa anarudi.
 
Last edited by a moderator:

Kumbuka hiyo ni true story na huyo mbwa aliendelea kurudi kituoni kwa miaka 9 kama siyo 10, mpaka alipokufa. NB huyo mbwa ni real.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom