What went wrong at Clouds Media?

What went wrong at Clouds Media?

speechwriter

Senior Member
Joined
Jul 4, 2011
Posts
137
Reaction score
50
Hii ilikuwa ni radio ya watu. Au ndio brand saturation, competition au nini?

Je FACTS ni zipi kwenye hizi tuhuma zisizokweisha kila kukicha? Na kwa nini wawe wanalalamikiwa wao kila siku wakati radio ziko nyingi tu?

Mara wakina Kibonde sasa wasanii, mbaya zaidi siku hizi kila mmoja nayo platform ya kulalama: Facebook, Twitter, YouTube etc

At what point did it all go wrong for Clouds, je ni arrogance au wameshindwa ku-adapt?
 
Na bado.......!watakimbia mjini hapa,kila jambo lina mwisho.Na mwisho wao ndo huu.
 
Na siku hizi wanavyotumika na CCM ndivyo wanazidi kuharibu.
 
Kibonde alidanganywa angepewa ukuu wma wilaya sakatumika vizuri kupitia clouds kutukana upinzani hasa cdm
. Wasubiri kuolewa na cuf chama cha mashoga
 
Huwa sielewi hii patnership ya kusaga na Ruge. Nani bosi?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Radio ya MTU!!! That's the problem!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Wafu radio ni ya kusaga ila menejimenti yote amesimama kiwembe wa madada wa tht rugay
 
Hii ilikuwa ni radio ya watu....au ndio brand saturation?

competition au nini?

je FACTS ni zipi kwenye hizi tuhuma zisizokweisha kila kukicha? na kwa nini wawe wanalalamikiwa wao kila siku wakati radio ziko nyingi tuu?

Mara wakina Kibonde sasa wasanii....mbaya zaidi siku hizi kila mmoja nayo platform ya kulalama..facebook,twitter, youtube etc

At what point did it all go wrong for clouds?

Je ni arrogance au wameshindwa ku adapt?

Hivi baada ya marehem mzee kusaga kufariki, je share zake aliwaachia wajukuu zake au joseph alimpa Ruge?

na ni radio zipi zinaweza kuchukua nafasi ya Clouds?

Jiulize Njenje wamewalaumu Clouds?
Au Diamond kawalaumu Clouds?
je Ally Kiba kawalaumu Clouds?
Au Fid Q, JOH Makini na Ommy Dimpoz wamewalaumu Clouds?

Pamoja na yoote yanayosemwa, kuna ambayo naungana na baadhi ya wahanga waliowahi kukandamizwa na Clouds.
Ni kweli Clouds wana mapungufu yao tena ni makubwa mno, lakini kuna baadhi ya wadau wa Muziki wamefika tamati na sasa Nanga inashuka so wameamua kutafuta suport ya wazalendo.
 
Wafu radio ni ya kusaga ila menejimenti yote amesimama kiwembe wa madada wa tht rugay

pale upate job hadi Ruge akugegede mi rafiki yangu ilibidi akimbie sa hivi katulia zake Radio moja ya A town
na jamaa unaambiwa ana wadudu.....
 
Unafikir ni wasanii tu ndo wanaostahil kuachana na clouds?Hata mimi msikilizaj nimeamaa....!Labda wanakutangazia ww!Wadudu wanawanyevua......tumekwisha wamwagia VIUATILIFU!!!!!!!!!!!!

Mpaka sasa hakuna ushahidi unao onesha Clouds wameathrika kwa haya malalamiko yasiyo na msingi.Pili,hivi ni vita vya Kibiashara,alafu wasanii wanalia ili waonewe huruma.
 
Wakimbie mjini kwa lipi?.Washauiri wasanii waachane na Clouds,kwasababu hawalazimishwi

Usijarib kutetea ujinga kwanini walaumiwe wao tu kila siku????????
Clouds take more kuliko wasanii wenyewe,wanamkamua ngombe maziwa weee halafu hawamlishi na wakimlisha hashibi ko sio bure,maziwa wanakamua,wananenepesha vitambi vyao wakati ngombe hana nyama

Mandonjo na Domokaya wako wapi wamepotezwa kwenye gem baada ya kukataa kuwa chini ya clouds
 
Jiulize Njenje wamewalaumu Clouds?
Au Diamond kawalaumu Clouds?
je Ally Kiba kawalaumu Clouds?
Au Fid Q, JOH Makini na Ommy Dimpoz wamewalaumu Clouds?

Pamoja na yoote yanayosemwa, kuna ambayo naungana na baadhi ya wahanga waliowahi kukandamizwa na Clouds.
Ni kweli Clouds wana mapungufu yao tena ni makubwa mno, lakini kuna baadhi ya wadau wa Muziki wamefika tamati na sasa Nanga inashuka so wameamua kutafuta suport ya wazalendo.

Alafu mbona Kuna aina nyingi tuu za Muziki hapa hatuwasikii wakilalamika.... Wanamuziki wa Dansi na Taarab mbona wapo Kimya Wanafanya show zao maisha yanaenda Kila kukicha na hawa hawa tuu C waachane na hiyo Redio?
 
Unafikir ni wasanii tu ndo wanaostahil kuachana na clouds?Hata mimi msikilizaj nimeamaa....!Labda wanakutangazia ww!Wadudu wanawanyevua......tumekwisha wamwagia VIUATILIFU!!!!!!!!!!!!

Nyinyi Mnaojifanya Hamsikilizi Clouds Ikija ishu hapa Mna information zote Sasa hata hatuwaelewi Hamsikilizi kbs au Mnasikiliza kidogo hapa ndo mnaponipa tabu.
 
Ni kweli Clouds wana mapungufu yao tena ni makubwa mno, lakini kuna baadhi ya wadau wa Muziki wamefika tamati na sasa Nanga inashuka so wameamua kutafuta suport ya wazalendo.

Hata wabongo fleva wapo wengi tu wenye mapungufu ambayo ni makubwa tu. Hata vituo vingine vya redio vipo vingi tu tena vyenye mapungufu makubwa tu.

Hivyo, kama ni kuzungumzia mapungufu basi hakuna atakayebaki. Cha msingi cha kujiuliza ni je, hao wasanii wanaolia lia kukandamizwa and whatnot, wamejiangalia within na kujiona hawana mapungufu yao binafsi ambayo labda ndiyo yanapelekea wao kulialia na kulaumu wengine kwa kufulia kwao?
 
Jiulize Njenje wamewalaumu Clouds?
Au Diamond kawalaumu Clouds?
je Ally Kiba kawalaumu Clouds?
Au Fid Q, JOH Makini na Ommy Dimpoz wamewalaumu Clouds?

Pamoja na yoote yanayosemwa, kuna ambayo naungana na baadhi ya wahanga waliowahi kukandamizwa na Clouds.
Ni kweli Clouds wana mapungufu yao tena ni makubwa mno, lakini kuna baadhi ya wadau wa Muziki wamefika tamati na sasa Nanga inashuka so wameamua kutafuta suport ya wazalendo.

usione watu wako kimya ni kwamba watafanyeje,,,ila watu wana mengi sana moyoni haswa Fid Q

uliza mchezo uliofanyika mpaka Roma akachukua tuzo ya msanii bora wa hiphop mwaka jana na Joe kipindi kile,,,,kama ulisikia maneno ya roma wakati anakabidhiwa tuzo unaweza ukaanza kupata picha....au sikiliza ngoma yake Propaganda japo aliamua kufikisha ujumbe kwa mafumbo.
 
Back
Top Bottom