Teslarati
JF-Expert Member
- Nov 21, 2019
- 1,735
- 6,796
Salaam,
Ndugu zanguni sidhan kama ni mm pekee ndo nimeona hili. Hawa watoto wa 2000s -23 yrs old and below ukikuta kaharibika basi kaharibika sana (what went wrong?) na ukikuta anajielewa basi anajielewa zaidi ya mtu wa miaka 30 na alichokosa tu ni experience (what went right?)
Hapa mjini tunaona vijana wengi wa 23 yrs & below wakiongoza kujihusisha na mambo yasiofuata maadili kama vile utumiaji vilevi, umalaya na ushoga.
Lakini pia ukienda maofisini siku hizi unaweza kuta kijana mdogo lkn anjua vitu hadi anakera. Yaan ijumaa nilienda kumtembelea rafiki yangu pale Deloitte nimekutana na associate mmoja dogo dogo tu ila aisee the kid was bright. Na hii sio mara ya kwanza.
Watoto wa 2000s ni aidha anajielewa au kashapotea hakuna average, midrange.
So what went wrong and what went right?