matumbo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 7,224
- 3,958
Alafu mbona Kuna aina nyingi tuu za Muziki hapa hatuwasikii wakilalamika.... Wanamuziki wa Dansi na Taarab mbona wapo Kimya Wanafanya show zao maisha yanaenda Kila kukicha na hawa hawa tuu C waachane na hiyo Redio?
asili na mfumo wa kupata soko kwa muziki wa kizazi kipya unategemea sana Radio na sikum izi kidogo TV,,,,so usilinganishe vitu ambavyo havifanani iyo taarabu lilikuwapo kabla ata wanaoimba hawaijui mic.
no radios no muziki wa kizazi kipya coz ata blog zimejaribu kuchukua nafasi zimeshindwa.