Mkuu, hiyo siku ya appointment tulikubaliana vizuri and everything was going ok! lakini muda mfupi tu baada ya kuingia gest mtu akaanza kulia bila kusema ni kwa nini analia. nilibembeleza 3 hours na hadi aliponyamaza, i was totally bored and I decided to quit the place.Ilikuwaje yeye mwenyewe akakubali mpaka kufika guest house??
Few months ago, I fell in love with a certain young lady. Our love lasted just for three months before I was fired in that relationship. The day the relationship ended is the day that we planned to have sex for the first time.
We did not have sex on that day because my love was crying all the time in that room in the guest house and I did not know the reason why she was crying. the next day, she just abandoned me and she never gave me the reason other than saying "nipe muda nijifunze kukupenda"
Up to the Moment sijajua kama bado anajifunza kunipenda kwa sababu alinichunia na hajawahi kuongea na mimi tena. wana JF, tatizo ni nini na kosa langu ni lipi? Nisaidieni
Aliona kibamia? au hukuwa umevua nguo? maana mwenzangu asije akawa ameona asipoteze muda maybe, ila pia inaweza kuwa ni technique yake. just be happy and propose to her, i think she is good girl
few months ago, i fell in love with a certain young lady. our love lasted just for three months before i was fired in that relationship. The day the relationship ended is the day that we planned to have sex for the first time.
We did not have sex on that day because my love was crying all the time in that room in the guest house and i did not know the reason why she was crying. The next day, she just abandoned me and she never gave me the reason other than saying "nipe muda nijifunze kukupenda"
up to the moment sijajua kama bado anajifunza kunipenda kwa sababu alinichunia na hajawahi kuongea na mimi tena. Wana jf, tatizo ni nini na kosa langu ni lipi? Nisaidieni
kwani kumpenda mtu ni lazima kusex?I still love her, wana JF. Sijui nifanyeje? naweza nikafa mawazo
katikati hapo, we achana na joke yangu just nenda kamwombe umuoe huyo msichana, si unampenda?What is kibamia???!!! Na kinapatikana sehemu gani?
kwani kumpenda mtu ni lazima kusex?
katikati hapo, we achana na joke yangu just nenda kamwombe umuoe huyo msichana, si unampenda?
katikati hapo, we achana na joke yangu just nenda kamwombe umuoe huyo msichana, si unampenda?
labda aliona una mzigo mzito lol, ongea nae kwa upendo akujuze kulikoni
kwani kumpenda mtu ni lazima kusex?
<br />Alikua analia baada ya kumwonesha kimbilimbi chako..
<br />Kwa hiyo ni machangu tu ndo wanaokwenda kulala guest. Na wewe siku ukiwa ugenini halafu then ukalala guest then you become changu........... ndio hivyo?