What was my mistake?


henrygees

henrygees

Senior Member
Joined
Sep 8, 2010
Messages
141
Likes
24
Points
35
henrygees

henrygees

Senior Member
Joined Sep 8, 2010
141 24 35
ulimdanganya umri wako wewe ..kumbe ni babu ye akijua wewe ni kakijana kama yeye
 
Keren_Happuch

Keren_Happuch

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Messages
1,880
Likes
12
Points
135
Keren_Happuch

Keren_Happuch

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2011
1,880 12 135
Ilikuwaje yeye mwenyewe akakubali mpaka kufika guest house??
Nafikiri Clemmy ametoa maelezo mazuri ambayo yanaweza kujibu swali lako.

Mara nyingi kuna sauti ndogo,laini na ya upole inakua inaongea na sisi
tukiwa tunafikiria kufanya jambo lolote,au tukiwa tunalifanya au tunajiandaa kufanya kitu.

Mara nyingi pia sauti hii hua tunaidharau,maana ni ya upole sana lakini ndio sauti peke yake
ambayo inatakiwa iongoze maisha yetu.

Kwa mtazamo wangu,yawezekana kabisa sauti hii ilikua inamtokea na akaona kabisa
anachotaka kukifanya ni kosa kubwa sana,...........
*Labda aliambiwa kuna maradhi atakupa akifanya tendo hilo na wewe,...........
*Au labda aliambiwa wewe una maradhi utampa,..........
*Au labda aliambiwa utamchezea tu na utamtosa,.......
*Au labda aliambiwa ukifanya kosa hili leo utapata mimba,...

Na mengine mengi,cha muhimu mkuu,mshukuru sana Mungu kwa kilicho tokea.
na zaidi ya yote,jifunze kuisikiliza sauti hii mda wote,...

Ni sauti ya ROHO MTAKATIFU
 
God knows

God knows

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2011
Messages
274
Likes
42
Points
45
God knows

God knows

JF-Expert Member
Joined Sep 6, 2011
274 42 45
Unajua hata mimi kuna sauti ya ROHO MTAKATIFU inaniambia kwamba yule msichana bado ananipenda. Hasa kwa sababu hiyo sauti ndiyo inatakiwa kuongoza maisha yetu, then inabidi nikamfuate tena na kumuambia kwamba ROHO MTAKATIFU kaniongoza kufika tena kwako.
 
Speaker

Speaker

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2010
Messages
6,356
Likes
29
Points
135
Speaker

Speaker

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2010
6,356 29 135
Unajua hata mimi kuna sauti ya ROHO MTAKATIFU inaniambia kwamba yule msichana bado ananipenda. Hasa kwa sababu hiyo sauti ndiyo inatakiwa kuongoza maisha yetu, then inabidi nikamfuate tena na kumuambia kwamba ROHO MTAKATIFU kaniongoza kufika tena kwako.
Kua makini sana usije kukufuru,fanya dhambi zote ila usimkufuru Roho Mtakatifu.
Dhambi hiyo haisameheki kamwe.

Matthew 12:31
"And so I tell you, every sin and blasphemy will be forgiven men, but the blasphemy against the Spirit will not be forgiven."

Yaani,..kwa tafsiri yangu ni kwamba:-
"Hakika nawambieni,dhambi na dhihaka zote zitasamehewa,lakini dhambi ya kumdhihaki Roho Mtakatifu haifasamehewa kamwe"
 
M

Magoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2011
Messages
438
Likes
13
Points
35
M

Magoo

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2011
438 13 35
No one knows the hiden mind of women so thanks God for that angalia mambo mengine kama unampenda kweli mwambie kuhusu ndoa kwaheri
 
gesundheit

gesundheit

Member
Joined
Sep 7, 2011
Messages
9
Likes
2
Points
5
gesundheit

gesundheit

Member
Joined Sep 7, 2011
9 2 5
teh teh!labda aliona dudu kubwa akaogopa na kuanza kulia na hatimaye kukuacha kbs la sivyo yangemkuta ya kumkuta au kukimbia na kufuli mkononi na ndo maana ameamua aachane na wew kbs!!!
 

Forum statistics

Threads 1,261,691
Members 485,312
Posts 30,100,677